Shetani lazima ajadiliwe na kulaaniwa kila wakatiHatujadili habar za hayati Jpm hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani lazima ajadiliwe na kulaaniwa kila wakatiHatujadili habar za hayati Jpm hapa
Labda wabunge wa Kenya lkn sio hawa wakupiga vigelegele na makofi!!Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Bandari zinakodishwa hazibinafsishwi na ni kwa faida ya uchumi wetu wenyewe, kumbuka kuwa SSH ameamua kuikodisha baada ya malalamiko ya wizi na utendaji mbovu pale TPA kuwa mengi na mengine kutoka kwa marais wa nchi zinazotumia hiyo bandari.Alipokuwepo umeme ulikatika? Bandari zilibinafishwa? Mimi naongelea ukweli sio ushabiki
Bandari zinakodishwa hazibinafsishwi na ni kwa faida ya uchumi wetu wenyewe, kumbuka kuwa SSH ameamua kuikodisha baada ya malalamiko ya wizi na utendaji mbovu pale TPA kuwa mengi na mengine kutoka kwa marais wa nchi zinazotumia hiyo bandari.
Umeme ulikuwepo lakini ni kwa hasara ya mitambo kuendelea kuharibika huku akiendelea kulazimisha itumike bila ya kuja na mpango mbadala wenye tija kwa taifa.
Huna akili punguani wewe. Yaani kudhibiti na utendaji mbovu mpaka Mwarabu akodishiwe?Bandari zinakodishwa hazibinafsishwi na ni kwa faida ya uchumi wetu wenyewe, kumbuka kuwa SSH ameamua kuikodisha baada ya malalamiko ya wizi na utendaji mbovu pale TPA kuwa mengi na mengine kutoka kwa marais wa nchi zinazotumia hiyo bandari.
Umeme ulikuwepo lakini ni kwa hasara ya mitambo kuendelea kuharibika huku akiendelea kulazimisha itumike bila ya kuja na mpango mbadala wenye tija kwa taifa.
Huna akili wewe usiyejua DP World anafanya kazi nchi ngapi duniani.Huna akili punguani wewe. Yaani kudhibiti na utendaji mbovu mpaka Mwarabu akodishiwe?
Mliodai kukarabati mitambo mbona mpaka sasa umeme ni janga la kitaifa?
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Wavamizi toka wapi?Hata hao wamasai hapo walipo sio kwao pia, ni wavamizi. Suluhisho litapatikana tu.
Walikuja pale kutoka Kenya miaka mingi ya nyuma. Serikali inalo lengo zuri la kutunza uoto wa asili sema tafsiri kila mtu anakuja na ya kwake.Wavamizi toka wapi?
Sasa kama unakubaliana na kasoro hizo zote, kwa nini usikubaliane na wanaotaka mabadiliko. Maana inaonekana "you are OK with the status quo".Umeme na maji kukosekana ni tangu awamu ya kwanza ya Tanzania, ufisadi upo kila awamu watu wanaiba kila mahali.
Mikataba mibovu ni uelewa wetu wa kijamii kuwa mdogo na hulka ya kupenda kuongea ambavyo mtu hata haelewi anaongea kitu gani.
Mabadiliko yanatokana na chuki tu na roho mbaya. Baadhi yetu tunashindwa kuendana na ukweli kwamba JPM alikwisha ondoka duniani, sio sehemu tena ya walio hai.Sasa kama unakubaliana na kasoro hizo zote, kwa nini usikubaliane na wanaotaka mabadiliko. Maana inaonekana "you are OK with the status quo".
Wewe mpuuzi hujui shughuli nyingi za uchumi zinategemea umeme?Mpuuzi wewe, maisha siku zote yanaendelea. Kuna wale wafugaji wa Arusha na Singida mwaka mzima miti imekauka na bado mifugo yao inaishi, huwa wanawanywesha mikojo yao hao Ng'ombe?.
Shetani kwa nyie wapenda magendo,wala rushwa, mafisadi,vyeti feki ambao mmeshika hatamu awamu hii.wapuuzi wachache tu hamuoni Magufuli alikuwa rais bora.Shetani lazima ajadiliwe na kulaaniwa kila wakati
Sio kweli kuwa wabunge wanaelewa na ku - appreciate anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan.Bunge linaongozwa na wabunge wenye kuelewa anachokifanya rais SSH, hawana sababu za kumpigia kura ya kumkataa kiongozi wao wanayejua anafanya nini.
Unatinza uoto wa asili wakati pale umeweka waarabu wawinde wanyama? Zile ndege zinazotua na kutoka na wanyama nazo vip? Zunatunza uoto wa asili?Walikuja pale kutoka Kenya miaka mingi ya nyuma. Serikali inalo lengo zuri la kutunza uoto wa asili sema tafsiri kila mtu anakuja na ya kwake.
Mpuuzi ni wewe, umeme unaingiaje katika haya maongezi?. Fafanua punguza jeuri.Wewe mpuuzi hujui shughuli nyingi za uchumi zinategemea umeme?
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hatuwezi kuwa na nchi inayojiendea tu kiholela, JK alilisema hili alipohutubia bunge mwaka 2005 na likawa linarudiwarudiwa na viongozi.Sio kweli kuwa wabunge wanaelewa na ku - appreciate anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan.
Definitely, hawaelewi afanyacho lakini pia hawana jinsi ya kufanya Kwa sababu Kwa mfumo wa utawala na kikatiba wa nchi yetu, kitendo Cha wabunge kum - impeach Rais ni sawa na kuwa wanaji - impeach wenyewe.
Kwa hulka/nature ya binadamu alivyo ni ngumu sana kujikana mwenyewe ambapo ni sawa na binadamu huyo kukata mkono unaomlisha!!
Shida ya wabunge wanawajibika kwa Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais,hawana nguvu ya ushawishi ndani ya chama ambayo Rais anayo.Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Kikao Cha MaccmKwani Tanzania Kuna bunge