Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

Hakuna bunge la kumuondoa pale , kama taifa tuko kwenye mkwamo mkubwa sana, kwa bunge lenye meno uyu hakutakiwa kuwa ofisin mpaka mda huu
 
Eti Katiba anaiita kijitabu halafu bado wawakilishi wetu wapo wapo tu!
Sema tuna miwakilishi mioga-mioga ambayo pamoja na uoga wao wajue tu 2025, wengi wao hawatarudi.
 
Hayo matatizo ya kawaida sana wewe mburukenge. Tanzania iko salama sana kama nchi baada ya kuvurugwa miaka ya 2015-21 na yule mwendawazimu wa Chato.

Angalia hata uhuru wa kuandika mada kama hii unao kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…