Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha peponi sii vipo...Miaka mingi ili uendeleee kuenjoy Vine ausio!😋🕺
Umetishaaa
😂😂 Eti hata Mungu mwenyewe hawezi kukuondoa bila ridhaa yako🤔Mingi ukiwa na mikakati.
Mimi nataka niishi maisha ya ukamilifu, nimalize kilichonileta duniani halafu niondoke chap. Sitaki kukawia sana.
Sasa hivi nina 30, bado miaka 15 tu. Nikizidisha sana 50 inatosha kabisa nitakuwa nimekamilisha kila kitu.
Nikiona bado nahitaji muda wa kuwepo naweza kuongeza mkataba kidogo nirefushe angalau miaka mitano, ila sitaki kuvuka 60 kwa namna yoyote ile.
Uzuri mimi ndiye ninayeamua. I am in TOTAL CONTROL.
Hata ukija na mauchawi ya Congo au bunduki huwezi kuniondoa kabla ya wakati wangu. KAMWE.
Hata Mungu mwenyewe hawezi kuniondoa bila RIDHAA yangu kwa sababu HATA HIVYO mimi ndiye Mungu mwenyewe.
Cc: DR Mambo Jambo NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon