Kama Mungu angekupa nafasi ya kuamua uishi miaka uipendayo je ungechagua mingapi? (Sharti muda lazima)

25 maana ukiishi sana utakuja kukufuru,maana ndio ujana unachanganya hapo kabla ya dhambi azijawa nyingi
 
Ningeomba nifariki Nikiwa na miaka 16
 
mimi tungeongea sana na huyo MUNGU mpaka angesahau alifuata nini kwangu
maana nnamengi sana ya kuongea nae kuliko hiyo miaka
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Eti hata Mungu mwenyewe hawezi kukuondoa bila ridhaa yako๐Ÿค”
Umetisha Sana bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ