Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Sasa mkuu kwenye kuexperience utajuaje hiki ni kweli na hiki ni uongo? Tafadhali kwa usumbufu wa maswali yangu ndugu yetu.

Kwa ninavyofahamu mimi Enlightenment haiitaji kuangalia hiki ni kweli na hiki si ukweli bali ni experience ya kuboresha ufahamu na kuunganisha ufahamu wako na ufahamu mkuu. Kwani ukweli na uongo ni kama mwanga na giza. Giza sio kitu binafsi bali ni kutokwepo kwa mwanga. Hata ukweli na ujinga ni vitu viwili vilivyo katika hali moja lakini kimoja ni existence na kimoja ni non existence. Hivyo stage hiyo mtu haukumu uongo bali anauona ukweli kama existence na illusion inakuwa imetolewa kwake. Kila reality na illusion inaonekana kama ilivyo lakini utagundua kuwa vyote ni kama ncha mbili za sumaku.

Asante sana.
 
Nimekuelewa. Asante sana ndugu.
 
Umetumia ubongo wa nyuma kujibu hoja
 
Ili uwezekujua kwamba binadamu katoka wapi n lazima fahamu kwanza huyo mungu anayesemwa n nan ktk dunia hii na chanzo cha mungu ni nn alafu mengine ndo yafuate sawa mkuu
 
Ili uwezekujua kwamba binadamu katoka wapi n lazima fahamu kwanza huyo mungu anayesemwa n nan ktk dunia hii na chanzo cha mungu ni nn alafu mengine ndo yafuate sawa mkuu

kwa nini usibebe jukumu la kuelezea hizo dhana. au sote ndo hatujui?
 
Kwanini wewe unadhani hana huo muda wa kuandika vitabu?

Yaani wewe unaona ni kawaida na ni jambo la kimantiki alietengeneza hicho kifaa unachokitumia ku access Jf kuweka manual book ili wewe mtumiaji uweze kukitumia vyema lakini unaona ni jambo la kijinga kwa Mungu kuandika vitabu kwaajili ya watu wake?

Iko sawa hii kweli?
 
Mkuu endelea kula sembe aisee this is above ua reasoning and thinking capacity utajikuta umevua nguo bure aisee!!
Jibu swali wewe ni Chimpanzee Origin?
Maana na wewe umekataa asili yako sio Mungu, nieleze wewe umetokea wapi?
 
Kama unaamini kuwa Mungu hayupo basi wewe utakuwa siyo mzima!jiulize mwenyewe huwezi hata kutengeneza Mbu basi hata mende bado ujione umejiumba ni kukoswa na busara kwa mwenyezi mungu!
 
Mkuu vifaa tunavyotumia kuaccess haya makitu havijatengezwa na Mungu.
 
Mkuu endelea kula sembe aisee this is above ua reasoning and thinking capacity utajikuta umevua nguo bure aisee!!
Jibu swali wewe ni Chimpanzee Origin?
Maana na wewe umekataa asili yako sio Mungu, nieleze wewe umetokea wapi?

Sembe sijaiona miaka kadhaa sasa, sembuse kuila.

How do you know thisbis beyond my reasoning and thinking capacity?

Nani kasema chochote kuhusu chimpanzee?

Nimeuliza swali hapa, vitu vyote complex ni lazima viumbwe?

Mimi nikikwambia sijui nimetoka wapi, hilo linathibitisha kwamba nimeumbwa na mungu?
 
Kama unaamini kuwa Mungu hayupo basi wewe utakuwa siyo mzima!jiulize mwenyewe huwezi hata kutengeneza Mbu basi hata mende bado ujione umejiumba ni kukoswa na busara kwa mwenyezi mungu!

Katika logic kufikiri namna hii kunaitwa "non sequitur".

Maana yake, unaunganusha vitu visivyo na mtiririko wala muungano.

Kwanza kushindwa kuyengeneza mbu kwa binadamu hakuthibitishi kwamba mungu yupo, kunathibitisha binadamu kashindwa kumtengeneza mbu. Utatumiaje binadamu kushindwa kumtengeneza mbu kama kigezo cha kusema mungu yupo?

Unaanzaanzaje?

Pili aliyekwambia kajiumba nani?
 
Kilichobaki sasa hivi unaruka na kukanyaga, nahisi naongea na Zombi aka abnormal, hakika wewe sio mzima unahitaji ukombozi!!!akili yako imenasa ndani ya ujinga!
 
Kwa akili yako fupi, hakuna jambo lolote unaweza kulikubali kuhusu existence ya Mungu naamini baada ya muda mfupi atakufikia tu na utajua kuwa yeye yupo!Otherwise endelea kufanya utafiti wako hapa na kukusanya maoni ya watu umalizie paper yako then usubmit kwa Supervisor wako maana kwa akili yako unaelekea kufeli final yako mpaka unatia huruma!
 
Mimi naona Kiranga anahoji maswali ya maana sana lakini nyie mnamjibu ovyo hadi mnaonekana nyie ndio Hamna akili.
Kama mnabisha pitieni maswali na majibu ya Kiranga mlinganishe na maswali & majibu yenu msipoona mkaaibika 🙂
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona Kiranga anahoji maswali ya maana sana lakini nyie mnamjibu ovyo hadi mnaonekana nyie ndio Hamna akili.
Kama mnabisha pitieni maswali na majibu ya Kiranga mlinganishe na maswali & majibu yenu msipoona mkaaibika 🙂

Kwani kiranga na wewe mna tofauti gani! ID moja tu unazingua! Afu unajifanya kuja hapa kusapoti ushuzi wako!
 
Theists mfike mahali mkubali kuwa existance ya Mungu haiwezi kuwa proven through logic.Nawashangaa sana waamini Mungu wote mnaojaribu kutumia logic kuprove the existance of God.Au mmesahau maana ya IMANI.

IMANI-Ni tarajio la hakika la vitu visivyoonekana
 
Hawa waamini ni shart wajue tofauti ya kujua na kuamini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…