Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
Sasa mkuu kwenye kuexperience utajuaje hiki ni kweli na hiki ni uongo? Tafadhali kwa usumbufu wa maswali yangu ndugu yetu.
Kwa ninavyofahamu mimi Enlightenment haiitaji kuangalia hiki ni kweli na hiki si ukweli bali ni experience ya kuboresha ufahamu na kuunganisha ufahamu wako na ufahamu mkuu. Kwani ukweli na uongo ni kama mwanga na giza. Giza sio kitu binafsi bali ni kutokwepo kwa mwanga. Hata ukweli na ujinga ni vitu viwili vilivyo katika hali moja lakini kimoja ni existence na kimoja ni non existence. Hivyo stage hiyo mtu haukumu uongo bali anauona ukweli kama existence na illusion inakuwa imetolewa kwake. Kila reality na illusion inaonekana kama ilivyo lakini utagundua kuwa vyote ni kama ncha mbili za sumaku.
Asante sana.