Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Hujajibu swali.

Wewe unauemkubali mungu uliyeambiwa na watu tu, ambaye huwezi kumuelezea alivyo, alivyotokea wala sababu zake za kuwapo, ndiye ambaye huendeshwi na hoja za watu?

Nimekuuliza, katika thtead zote hizo kuna inayothibitisha kuwepo kwa mungu?

Swali la mimi kitoka wapi linahusianaje na kuwepo kwa mungu? Unaweza kunipa ihusiano usiopingika kati ya viwili hivi?

Au unarusha "non sequitur" tu bila kutambua?

Mkuu usipate shida kwa kibantu
Jina Kiranga maana yake ni DEVIL au SHETANI
Najua wajua kilichomtoa kuku manyoya, hata kama
hupendi kujua ukweli najua nafsi yako yajua kuhusu existence
ya Mungu, walikuwepo makamanda zaidi yako kama Mussolin
na Hittler waliopinga uwepo wa Mungu and now they know the
Truth kwi kwi kwi kwi kwi Kiranga the Agent !
 
Unaniuliza alili yangu inanituma niseme nini wakati nilichosema umeninukuu, unajua kusoma?

Nimekuuliza swali hujalijibu.

Katika threads zote hizo, kina hata moja iliyothibitisha kuwepo kwa mungu?

Mkuu naona unazunguka mbuyu,
Unapenda kujifurahisha na kuongea vumbi
katikati ya watu wenye akili, Kama wewe mjanja
ongeza hata idadi ya unywele mmoja kwenye kichwa
chako! Au niambie mwisho wa kuishi kwako ni miaka mingapi?
kama huna majibu ya hayo ni Kiranga tu!
 
Yamefanyika mangapi zaidi ya kuongeza unywele, Mungu wako kaumba Dunia kama ilivyo sasa au mwanadamu ndo kaitengeneza hvi ilivo!!!??
 
Naona unaaza kuimba taarab.😉
 
Musioamini uwepo wa Mungu mumepotea, acheni e mizaha ya namna hii.

Viburi vyenu na pumzi,uzima muliojaaliwa ndio mnaandika mambo ya utani kwa Mungu.

Tuna mifano mingi na miujiza lukuki wala haijapatiwa majibu mpk Leo.

Kwa mfano?
 
Wafia dini mnashida kwa kweli. uliskia wapi ng'ombe anaakili?

Jee unataka kuniambia watu wote huzaliwa na akili?

Kulingana na hoja yako ni mazingiza ndiyo yaliyo fanya kutokea kwa binaadam,sasa kama ni mazingira ndio nikakuuliza kwann ng'ombe asiwe na akili kama za binaadamu kutokana na mazingira hayo?ni nani alietofautisha akili za binaadam kuwa tofauti na zawanyama wengine?
 
Mkuu hapa Kuna mawawili coz wanasayansi ( philosophes ) wamesema mungu hayupo af wana prove kabisa kwamba Dunia imeanzaje na mtu katoka wapi .. Af pia tena dini inatufundisha kwamba mungu yupo nayo pia ina prove

Sio kila mwanasayansi ni mwanafalsafa na hivyo hivyo kinyume chake. Pia sio kila mwanasayansi au mwanafalsafa anakataa uwepo wa mungu
 
Yamefanyika mangapi zaidi ya kuongeza unywele, Mungu wako kaumba Dunia kama ilivyo sasa au mwanadamu ndo kaitengeneza hvi ilivo!!!??

Baada ya wewe kuumbwa ulipewa jukumu la
uikalia,uilima , kuitunza na kuitawala hayo unayoyasema
yako humo, endelea kujilisha upepo, maana mpumbavu
pekee ndo anayesema hakuna Mungu
kwi kwi kwi kadri muda unavyozidi kwenda
utajiharishia tu, wewe na kundi lako la wanasayansi
mmeambiwa umbeni mtu wenu mnatokwa na povu, mnaiga tu!
 
Kwanza kabisa huna Proved ya Mungu physical hii iko based ktk faith na kuna makundi mangapi yanayoelezea mungu tofauti unadhani dunia yote ina imani moja?? Kadri muda unavyoenda ntajidhihirishia uwepo wake kvp? Uhai ktk sayari umeanza miaka takribani 3.5 billion iliyopita sasa Mungu huyu ikiwa tuna mterm as omnipotent au omnipresent mpaka leo ashindwe tu kujitokeza walau tumuone. Tuna milango mitano ya fahamu but hakuna hata mmoja una sense existence za God ujanja ujanja wa wayahudi wamekuletea invisible God ambae in reality hayupo Bora anae abudu ngombe au miti kama babu zetu wa miaka hiyo kuliko kushika bendera za ukiristo na uislamu ambao ulitumika kama method ya kututawala.
 
Kulingana na hoja yako ni mazingiza ndiyo yaliyo fanya kutokea kwa binaadam,sasa kama ni mazingira ndio nikakuuliza kwann ng'ombe asiwe na akili kama za binaadamu kutokana na mazingira hayo?ni nani alietofautisha akili za binaadam kuwa tofauti na zawanyama wengine?

Akitokea ng'ombe mmoja akapata akili vivyohivyo atawafunza wenzake kama tulivyo sisi.
 
Kulingana na hoja yako ni mazingiza ndiyo yaliyo fanya kutokea kwa binaadam,sasa kama ni mazingira ndio nikakuuliza kwann ng'ombe asiwe na akili kama za binaadamu kutokana na mazingira hayo?ni nani alietofautisha akili za binaadam kuwa tofauti na zawanyama wengine?

Kwa mantiki hiyo hata utofauti wa mimea usingekiepo. if ungekuepo nani katofautisha then! This is end less qn.

Jee ni Lazima kuwe na alietofautisha?
Ivi ukiskia watu wanasema "nature" unakua unaelewa nini?
 
Kwanza kabisa huna Proved ya Mungu physical hii iko based ktk faith na kuna makundi mangapi yanayoelezea mungu tofauti unadhani dunia yote ina imani moja?? Kadri muda unavyoenda ntajidhihirishia uwepo wake kvp? Uhai ktk sayari umeanza miaka takribani 3.5 billion iliyopita sasa Mungu huyu ikiwa tuna mterm as omnipotent au omnipresent mpaka leo ashindwe tu kujitokeza walau tumuone. Tuna milango mitano ya fahamu but hakuna hata mmoja una sense existence za God ujanja ujanja wa wayahudi wamekuletea invisible God ambae in reality hayupo Bora anae abudu ngombe au miti kama babu zetu wa miaka hiyo kuliko kushika bendera za ukiristo na uislamu ambao ulitumika kama method ya kututawala.

bora usiabud chochote kuliko kuabudu ng'ombe.
 
Kwa mantiki hiyo hata utofauti wa mimea usingekiepo. if ungekuepo nani katofautisha then! This is end less qn.

Jee ni Lazima kuwe na alietofautisha?
Ivi ukiskia watu wanasema "nature" unakua unaelewa nini?

Watu wanasema nature,mm naamini hakuna nature ila kila kitu kimepangwa na muumba,nikimuona binaadam kazaliwa na mti hapo nitaamini ni nature,jibu swali ni nani alieifanya akili yako iwe tofauti na ng'ombe wakati nyote mpo kwenye mazingira mamoja?
 
Kwanza kabisa huna Proved ya Mungu physical hii iko based ktk faith na kuna makundi mangapi yanayoelezea mungu tofauti unadhani dunia yote ina imani moja?? Kadri muda unavyoenda ntajidhihirishia uwepo wake kvp? Uhai ktk sayari umeanza miaka takribani 3.5 billion iliyopita sasa Mungu huyu ikiwa tuna mterm as omnipotent au omnipresent mpaka leo ashindwe tu kujitokeza walau tumuone. Tuna milango mitano ya fahamu but hakuna hata mmoja una sense existence za God ujanja ujanja wa wayahudi wamekuletea invisible God ambae in reality hayupo Bora anae abudu ngombe au miti kama babu zetu wa miaka hiyo kuliko kushika bendera za ukiristo na uislamu ambao ulitumika kama method ya kututawala.

Licha ya kuelekea kuehuka
unajua unachokifanya huku
nafsi yako ikikushuhudia wazi kuwa
Mungu yupo na hiyo pumzi ya bure
unayovuta inadhihirisha uwepo na ukuu wake!
Watu kama nyie nimewazoea maana ni wadogo sana kiakili
chini ya sisimizi!
 
Namimi naomba kujua;
  • Mtu mweusi wa kwanza katokea wapi?
  • Mzungu wa kwanza katokea wapi?
  • Mchina wa kwanza katokea wapi?
  • Mjapan wa kwa katokea wapi?
  • Mwarabu wa kwanzanza katokea wapi?
Na pia kwanini watu hawa ni tofauti?

Back
Top Bottom