Friji la mtumba
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 277
- 434
Mtoto anaezaliwa na kansa au anazaliwa na matatizo, Ni upendo wa Mungu pia?God exist
Hiyo kuteseka ,umasikini na njaa is man made and you can get rid from that ....
Mtoto anaezaliwa na kansa au anazaliwa na matatizo, Ni upendo wa Mungu pia?
aiseeeBelieve what you believe
Mimi nililia kwanini nilizaliwa kwenye familia masikini lakini cha ajabu hata mimi nilipata watoto wakati napambana na maisha niliendekezaNmezaliwa kwenye dini,
Mimi naamini Mungu yupo, ila kuna siku nilikaa nikajiuliza – kama kweli anatupenda, kwa nini wengine wanazaliwa kwenye vita, njaa, na mateso bila kosa?
Pia nimeshawahi kukutana na mtu ambaye ni Atheist lakini ana maadili kuliko mtu wa kanisani/msikitini. Hii inanifanya nijiulize sana, je kuwa wa Mungu ni kutamka tu au kuishi kwa mfano?
NadhariaUkiweza kung'amua lile andiko la siku 1 inaweza kugeuka miaka 1000 na miaka 1000 inaweza kuwa siku 1 utakua mtulivu.
Unaweza kulaani na kukata tamaa ukaja kushtuka kwenye usingizi wako ukakuta kumbe maisha uliyoishi hapa duniani ni ndoto ya sekunde 2 ndani ya usingizi wa siku moja.
Kuzaliwa maskini sio kosa, ila kufa maskini ndio kosa..Mimi nilia kwanini nilizaliwa kwenye familia masikini lakini cha ajabu hata mimi nilipata watoto wakati napambana na maisha niliendeka migodi badala ya kujiimarisha
Vipi ikiwa tupo ndotoni kweli?Nadharia
"Mfumo wa asili" hapa ndo mzizi wa maswali ya wengiMifumo iliyopo hapa duniani ni man made Ila upo mfumo wa asili ambao ukiiviolate sheria zake you can be punished