Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kwa mfano kama wewe ukiwa ni chanzo cha jambo Fulani, utakuwa unaishi wapi? Kwani Mungu kuwa chanzo cha viumbe vyote kuna husiana nini alipokuwa anaishi/kaa??
kama wewe umeamua kujifanya wewe ni mungu huwezi ukanichagulia maswali ya kukuuliza.
kwasababu maswali mengi ambayo ilitakiwa ayajibu mungu unayajibu wewe.
 
hivi kama kweli mungu yupo kwanini wewe unahangaika kumjibia maswali?
 
mm toka nazaliwa najua mungu hayupo ila wewe unanilazimisha niamini kwamba mungu yupo inamaana ww ndio mungu.
kwasababu maswali mengi ninayo uuliza na ilitakiwa ayajibu mungu lakini unayajibu wewe.
Duh! We umewafunika wote humu,haya nieleze ni vp mungu hayupo.
 
Ukitaka kujibiwa maswali na mungu basi tafuta kitabu ambacho kina maneno ya mungu utapata majibu yako.
nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
 
kama wewe umeamua kujifanya wewe ni mungu huwezi ukanichagulia maswali ya kukuuliza.
kwasababu maswali mengi ambayo ilitakiwa ayajibu mungu unayajibu wewe.

Kwa hiyo Mungu yuko apa jf sio! Wewe unauliza maswali kwa niaba ya nani? Hujui ya kuwa roho haiwezi kufanya kazi pasipo mwili?! Kama Mungu yuko apa jf basi atakuja kukujibu ..
 
nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
Unauliza maswali ya kijinga sana. Baki kama ulivyo
 
Nchi gain ilipata maendeleo kwa kusema hakuna mungu? Maendeleo katika hii dunia yameletwa na watu wasio amini mungu tu?
Wenye kuamini mungu na wasio amino mungu wepi ni wengi?
 
nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
Sasa katika huu Uzi umefuata nini?
 
Mungu hana chanzo kwa sababu hana mwisho.

Vingine vina chanzo kwa sababu vina mwisho. Kumbuka kuwa mwisho wa jambo lolote lile huleta tafsiri halisi au inayofanana na chanzo chake.
Kwa nini mungu hana chanzo?

Na kama mungu hana chanzo, kwa nini vingine vyote vihitaji kuwa na chanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…