Kwa nini akiwa hana mwisho asiwe na chanzo?Mungu hana chanzo kwa sababu hana mwisho.
Vingine vina chanzo kwa sababu vina mwisho. Kumbuka kuwa mwisho wa jambo lolote lile huleta tafsiri halisi au inayofanana na chanzo chake.
Na mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hatakiwi kuwa chanzo cha uovu hata mdogo kabisa, sembuse wote wa hapa duniani.Ukifikiria sana km huyu mungu yupo bac yy ndo chazo uovu wote hapa duniani.
Hizo ni herufi za Kigiriki tu ambazo zimepitwa na idadi na herufi za Kichina.Hawa sio wanasemaga mungu ni Alfa na omega
kwahiyo hata ww mwenyewe hauna uhakika kwamba mungu yupo.Kwa hiyo Mungu yuko apa jf sio! Wewe unauliza maswali kwa niaba ya nani? Hujui ya kuwa roho haiwezi kufanya kazi pasipo mwili?! Kama Mungu yuko apa jf basi atakuja kukujibu ..
Mkuu unaweza kuniambia ulimwengu huu umeanzia wapi na umeishia wapi? Huwezi. Vivyo hivyo huwezi kujua mwanzo wa Mungu wala mwisho wake.Kwa nini akiwa hana mwisho asiwe na chanzo?
Umejuaje hana mwisho ?
Unaweza kuthibitisha kwamba yupo tu, achikia mbali kwamba hana mwanzo wala mwisho?
kwahiyo hata ww mwenyewe hauna uhakika kwamba mungu yupo.
kwahiyo mm ninavyo kuambia mungu hayupo usinibishie.
Kwa nini nilivyo na vyote ninavyotumia ni uthibitisho kwamba mungu yupo?Mkuu unaweza kuniambia ulimwengu huu umeanzia wapi umeanzia wapi na umeishia wapi? Huwezi. Vivyo hivyo huwezi kujua mwanzo wa Mungu wala mwisho wake.
Hana mwisho kwa sababu hana mwanzo.
Nidhibitishe ki vipi mkuu? Ivo ulivyo na vyote unavyotumia ni udhibitisho kamili/tosha wa uwepo wa Mungu.
sijawahi kumuona.Una uhakika gani kuwa Mungu hayupo?! Thibitisha kwa mifano hai.
Hebu tuambie ni vp mungu HANA UWEZO wa kuumba ulimwengu kama huu?Kwa nini nilivyo na vyote ninavyotumia ni uthibitisho kwamba mungu yupo?
Katika physics, waste products ni alama ya inefficiency. System inayotoa waste product ni inefficient.
Sasa huyu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote mbona kaumba viumbe wanaotoa waste products kwa junya wakati ana uwwzo wote na upenso wote wa kuumba wasiotoa waste products?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, uoendo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, magonjwa, shida etc vinawezekana wakati alikuwa na kila uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hayo yote hayawezekani?
Hujajibu swali hili.
kwanza huyo mungu hajawahi kuwepo na wala haji kuwepo ila watu walikaa chini wakaamua kutengeneza propaganda kwa faida zao waoHebu tuambie ni vp mungu HANA UWEZO wa kuumba ulimwengu kama huu?
Haya tuyalete hayo maelezo yako kwenye uhalisia. Ni nani waliyobuni hivyo? Na eleza hao waliyobuni walikuwa wanafaidikaje?kwanza huyo mungu hajawahi kuwepo na wala haji kuwepo ila watu walikaa chini wakaamua kutengeneza propaganda kwa faida zao wao
ili wewe wakugeuze ni biashara bila wewe kujua.
ili kila kitu unacho toa ww ujue unamtolea mungu kwasababu yeye ndio aliye kuumba wakati sio kweli.
walio kutawala wewe ndio walio buni hizo propaganda yani ni seme wale ndio mabingwa wa propaganda duniani.Haya tuyalete hayo maelezo yako kwenye uhalisia. Ni nani waliyobuni hivyo? Na eleza hao waliyobuni walikuwa wanafaidikaje?
Waliyonitawala nani hao mbona huwataji?walio kutawala wewe ndio walio buni hizo propaganda yani ni seme wale ndio mabingwa wa propaganda duniani.
na kuhusu swala la kufaidika wanafaidika sana kwasababu propaganda zao bado zinafanya kazi kwa watu kama nyinyi.
na ukiamini mungu yupo basi ujue wewe bado unatawaliwa kwasababu bado unakuwa unafuata matakwa ya wale walio kutawala.
Kwa sababu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hana sababu, mantiki wala faida kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila kupungukiwa chochote.Hebu tuambie ni vp mungu HANA UWEZO wa kuumba ulimwengu kama huu?
Mwenye hizo sifa mwenyewe ameshaeleza kuhusiana na huu ulimwengu pamoja na sie wenyewe binaadamu.Kwa sababu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hana sababu, mantiki wala faida kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila kupungukiwa chochote.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila kupungukiwa chochote?
Ameshaelezea nini?Mwenye hizo sifa mwenyewe ameshaeleza kuhusiana na huu ulimwengu pamoja na sie wenyewe binaadamu.