Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Mungu hana chanzo kwa sababu hana mwisho.

Vingine vina chanzo kwa sababu vina mwisho. Kumbuka kuwa mwisho wa jambo lolote lile huleta tafsiri halisi au inayofanana na chanzo chake.
Kwa nini akiwa hana mwisho asiwe na chanzo?

Umejuaje hana mwisho ?

Unaweza kuthibitisha kwamba yupo tu, achikia mbali kwamba hana mwanzo wala mwisho?
 
Kwa hiyo Mungu yuko apa jf sio! Wewe unauliza maswali kwa niaba ya nani? Hujui ya kuwa roho haiwezi kufanya kazi pasipo mwili?! Kama Mungu yuko apa jf basi atakuja kukujibu ..
kwahiyo hata ww mwenyewe hauna uhakika kwamba mungu yupo.
kwahiyo mm ninavyo kuambia mungu hayupo usinibishie.
 
Kwa nini akiwa hana mwisho asiwe na chanzo?

Umejuaje hana mwisho ?

Unaweza kuthibitisha kwamba yupo tu, achikia mbali kwamba hana mwanzo wala mwisho?
Mkuu unaweza kuniambia ulimwengu huu umeanzia wapi na umeishia wapi? Huwezi. Vivyo hivyo huwezi kujua mwanzo wa Mungu wala mwisho wake.

Hana mwisho kwa sababu hana mwanzo.

Nidhibitishe ki vipi mkuu? Ivo ulivyo na vyote unavyotumia ni udhibitisho kamili/tosha wa uwepo wa Mungu.
 
Mkuu unaweza kuniambia ulimwengu huu umeanzia wapi umeanzia wapi na umeishia wapi? Huwezi. Vivyo hivyo huwezi kujua mwanzo wa Mungu wala mwisho wake.

Hana mwisho kwa sababu hana mwanzo.

Nidhibitishe ki vipi mkuu? Ivo ulivyo na vyote unavyotumia ni udhibitisho kamili/tosha wa uwepo wa Mungu.
Kwa nini nilivyo na vyote ninavyotumia ni uthibitisho kwamba mungu yupo?

Katika physics, waste products ni alama ya inefficiency. System inayotoa waste product ni inefficient.

Sasa huyu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote mbona kaumba viumbe wanaotoa waste products kwa junya wakati ana uwwzo wote na upenso wote wa kuumba wasiotoa waste products?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, uoendo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, magonjwa, shida etc vinawezekana wakati alikuwa na kila uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hayo yote hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
kama unaamini hakuna Mungu basi wewe sio wa kwanza wapo kabla yako leo wako wapi jiulize mimi na wewe ni wapita njia tu dunia tutaiacha km ilivyo ndugu.
quran surat yoonus 10:4-5 kwake yeye tu ndio marejeo yenu nyote.Hii ni ahadi yavMwenyezi Mungu iliyo ya kweli.Hakika yeye ndiye alienzisha uumbaji na kisha ataurejesha ili awalipe kwa uadilifu wale walioamini........5 Yeye ndiye aliyejalia jua kuwa na Mwangaza na mwezi kuwa na nuru,na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu.Mwenyezi Mungu hakuviumba ila kwa haki.Anazipambanua ishara kwa watu wanaojua"mwisho wa kunukuu
Mungu hakumlazimisha kiumbe yeyote kuamini kama yupo ama laa ila ameweka ishara kwa wanafikili.Hukulazimishwa kuamini ila kwa maamuzi yako.Ila tambua mimi na wewe na wengine tumeikuta dunia tumekuta watu.ila watu wanakufa kila siku na kuzaliwa kwanini wanakufa hatujui.pia sisi titakufa ndugu
 
Kwa nini nilivyo na vyote ninavyotumia ni uthibitisho kwamba mungu yupo?

Katika physics, waste products ni alama ya inefficiency. System inayotoa waste product ni inefficient.

Sasa huyu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote mbona kaumba viumbe wanaotoa waste products kwa junya wakati ana uwwzo wote na upenso wote wa kuumba wasiotoa waste products?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, uoendo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, magonjwa, shida etc vinawezekana wakati alikuwa na kila uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hayo yote hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
Hebu tuambie ni vp mungu HANA UWEZO wa kuumba ulimwengu kama huu?
 
kwanza huyo mungu hajawahi kuwepo na wala haji kuwepo ila watu walikaa chini wakaamua kutengeneza propaganda kwa faida zao wao
ili wewe wakugeuze ni biashara bila wewe kujua.
ili kila kitu unacho toa ww ujue unamtolea mungu kwasababu yeye ndio aliye kuumba wakati sio kweli.
 
Haya tuyalete hayo maelezo yako kwenye uhalisia. Ni nani waliyobuni hivyo? Na eleza hao waliyobuni walikuwa wanafaidikaje?
 
walio kutawala wewe ndio walio buni hizo propaganda yani ni seme wale ndio mabingwa wa propaganda duniani.
na kuhusu swala la kufaidika wanafaidika sana kwasababu propaganda zao bado zinafanya kazi kwa watu kama nyinyi.
na ukiamini mungu yupo basi ujue wewe bado unatawaliwa kwasababu bado unakuwa unafuata matakwa ya wale walio kutawala.
 
Waliyonitawala nani hao mbona huwataji?
Wataje basi au na wewe huwajui?
 
Hebu tuambie ni vp mungu HANA UWEZO wa kuumba ulimwengu kama huu?
Kwa sababu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hana sababu, mantiki wala faida kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila kupungukiwa chochote.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila kupungukiwa chochote?
 
Kuna watu kama siwajinga wanatumwa nashetani kumsaidia kazi zake Kusema Mungu hayupo wakati unapumua unaongea unatembea unatumia nguzu gani punzi gani unatumia wanaokufa kwanini wafe? Bila Mungu kukubali uishi auwezi kuishi je milima ilitokawapi miti wanyama bahari mito mikubwa bado unashindwa kuona uwepo waMungu unasema Mungu ninadharia kwakeli unaitaji maombi sio kingine
 
Kwa sababu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hana sababu, mantiki wala faida kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila kupungukiwa chochote.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila kupungukiwa chochote?
Mwenye hizo sifa mwenyewe ameshaeleza kuhusiana na huu ulimwengu pamoja na sie wenyewe binaadamu.
 
Ameshaelezea nini?

Na unajuaje kwamba ni yeye aliyeelezea na si mtu tu kama wewe aliyeandika na kusema mungu kaelezea hivi?
 
Back
Top Bottom