Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa nini akiwa hana mwisho asiwe na chanzo?Mungu hana chanzo kwa sababu hana mwisho.
Vingine vina chanzo kwa sababu vina mwisho. Kumbuka kuwa mwisho wa jambo lolote lile huleta tafsiri halisi au inayofanana na chanzo chake.
Umejuaje hana mwisho ?
Unaweza kuthibitisha kwamba yupo tu, achikia mbali kwamba hana mwanzo wala mwisho?