Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli marefa wanatuhujumu sana hata mechi ya Ruvu shooting ili takiwa tushinde ila klabu bingwa kule tutapita coz hamna marefa wa bongoNilichokiona kwa Yanga ni kucheza kwa jihad tu ila mpira hakuna,
Nilichokiona kwa refa ni kuibeba Yanga dhahiri bila kupepesa macho,
Nilichokiona kwa Simba ni kucheza vizuri bila kujali rafu za mara kwa mara walizokuwa wakichezewa na kutopanic ovyo na kutulia na kusawazisha goli.
Nilichokiona kwa Simba kingine ni kucheza kwa kujiamini sana huku wakijua watawin game
Sven ana leseni ya Ukocha wa UEFAUnabisha kishabiki bro simba mna winga wazuri pamoja striker tatizo mkude mnahisi kiwango chake kitakua kile kile na umri ume enda mfano mechi ya jana.
center back yenu haina nguvu wawa na onyango sio pacha nzuri. wawa hastahili kumkalisha ame bench
We unaujua mchezo wa mpira wewe..? makocha wanao fukuzwa timu nyengine hawashindi na wachezaji kambini..?Sven ana leseni ya Ukocha wa UEFA
Anakaa na wachezaji kambiñi na mazoezini, anawajua vizuri
Anaipenda kazi yake,lazima apange kikosi bora kulingana na mechi.
Lakini unakuja wewe shabiki wa Utopolo unajiamulia tu Fulani hafai, utafikiri ni wewe unayewafanyisha mazoezi na kuandaa program.
Ijue nafasi yako Ujuaji haufai , mtu hujawahi kuwa hata kocha wa darasa unaleta Ujuvi.
Kihasi ndio nini?We unaujua mchezo wa mpira wewe..? makocha wanao fukuzwa timu nyengine hawashindi na wachezaji kambini..?
Leseni ya UEFA ndo inafanya nini uwanjani?
sikujua kama na wewe ni mjinga kihasi hiki
Sawa muda utaongeaKihasi ndio nini?
Wewe eti wawa hafai kumuweka Ame bench,
Unamchukuliaje wawa?
Unaweza usiwe injinia lakini barabara ikiwa mbovu utajua mpira ni mchezo wa wazi hauhitaji kusomea ukocha kujua mchezaji fulani anafaa au hafai ila pamoja na leseni yake ya uefa bado ana mapungufu kibaoSven ana leseni ya Ukocha wa UEFA
Anakaa na wachezaji kambiñi na mazoezini, anawajua vizuri
Anaipenda kazi yake,lazima apange kikosi bora kulingana na mechi.
Lakini unakuja wewe shabiki wa Utopolo unajiamulia tu Fulani hafai, utafikiri ni wewe unayewafanyisha mazoezi na kuandaa program.
Ijue nafasi yako Ujuaji haufai , mtu hujawahi kuwa hata kocha wa darasa unaleta Ujuvi.
Ndio mbinu waliyofundishwa na kocha wa Barcelonaunalazimisha timu kucheza unavyotaka wewe shabiki... kupaki basi ni mbinu ya mchezo pia
Kwaiyo jana mkude kacheza ovyo?Unabisha kishabiki bro simba mna winga wazuri pamoja striker tatizo mkude mnahisi kiwango chake kitakua kile kile na umri ume enda mfano mechi ya jana.
center back yenu haina nguvu wawa na onyango sio pacha nzuri. wawa hastahili kumkalisha ame bench
Wacha Julia Lia wewe
Rekebisha hapo kwenye kihasi, ni kiasi. Umeeleweka.We unaujua mchezo wa mpira wewe..? makocha wanao fukuzwa timu nyengine hawashindi na wachezaji kambini..?
Leseni ya UEFA ndo inafanya nini uwanjani?
sikujua kama na wewe ni mjinga kihasi hiki
sawa1.WACHAWI WALIKUWA WAMEWEKEZA KWA MABEKI
2.BEKI WA SIMBA ANASABABIBISHA PENALT YA AJABU AJABU AMBAYO MAREFA 6 WAMETIWA UZEZETA
3.BEKI KISIKI WA YANGA ANAPIGWA MAKOMBORA YA HATARI ANAUMIA KIMIUJIZA ANATOKA
4.BEKI WA SIMBA ALIYESABABISHA GOLI ANAFUNGA GOLI LA KIMIUJIZA
5.ILIKUWA SIO MECHI YA UWANJANI BALI KUNA WABABE WAKICHAWI WALIKUWA WANAPAMBANA NJE YA UWANJA
Nimeona bongo bado Sana kwenye maswala ya soccerKwa upande wa simba watafute pacha nzuri centre back nzuri na defensive mildfilder
kwa upande wa yanga nawapa pongezi kwa usajili wao. kiufupi wameimalika kila sehemu sijashangaa mkoko tonombe alipopewa tuzo ya MOTM
WE UMEONA NINI?
Hizi ndo kauli mnalishwaga na Yule Albino wenu ndo maana baada ya mechi mnapoteana kwa kulaumu either refa au uchawi🤣🤣🤣Mkija kula 4 ndio safari ya Kaze kabisa
Hizi ndo kauli mnalishwaga na Yule Albino wenu ndo maana baada ya mechi mnapoteana kwa kulaumu either refa au uchawi
Hizi ndo kauli mnalishwaga na Yule Albino wenu ndo maana baada ya mechi mnapoteana kwa kulaumu either refa au uchawi
Ule uchafu wa FA ndo unazungumzia?tunazungumzia ligi kuu mzee4 mlikula au hamkula.?