Kama mwanamichezo umegundua nini mechi ya Simba na Yanga

Nilichokiona kwa Yanga ni kucheza kwa jihad tu ila mpira hakuna,

Nilichokiona kwa refa ni kuibeba Yanga dhahiri bila kupepesa macho,

Nilichokiona kwa Simba ni kucheza vizuri bila kujali rafu za mara kwa mara walizokuwa wakichezewa na kutopanic ovyo na kutulia na kusawazisha goli.

Nilichokiona kwa Simba kingine ni kucheza kwa kujiamini sana huku wakijua watawin game
Kweli marefa wanatuhujumu sana hata mechi ya Ruvu shooting ili takiwa tushinde ila klabu bingwa kule tutapita coz hamna marefa wa bongo
 
Unabisha kishabiki bro simba mna winga wazuri pamoja striker tatizo mkude mnahisi kiwango chake kitakua kile kile na umri ume enda mfano mechi ya jana.

center back yenu haina nguvu wawa na onyango sio pacha nzuri. wawa hastahili kumkalisha ame bench
Sven ana leseni ya Ukocha wa UEFA
Anakaa na wachezaji kambiñi na mazoezini, anawajua vizuri
Anaipenda kazi yake,lazima apange kikosi bora kulingana na mechi.
Lakini unakuja wewe shabiki wa Utopolo unajiamulia tu Fulani hafai, utafikiri ni wewe unayewafanyisha mazoezi na kuandaa program.
Ijue nafasi yako Ujuaji haufai , mtu hujawahi kuwa hata kocha wa darasa unaleta Ujuvi.
 
We unaujua mchezo wa mpira wewe..? makocha wanao fukuzwa timu nyengine hawashindi na wachezaji kambini..?

Leseni ya UEFA ndo inafanya nini uwanjani?

sikujua kama na wewe ni mjinga kiasi hiki
 
We unaujua mchezo wa mpira wewe..? makocha wanao fukuzwa timu nyengine hawashindi na wachezaji kambini..?

Leseni ya UEFA ndo inafanya nini uwanjani?

sikujua kama na wewe ni mjinga kihasi hiki
Kihasi ndio nini?
Wewe eti wawa hafai kumuweka Ame bench,
Unamchukuliaje wawa?
 
1.WACHAWI WALIKUWA WAMEWEKEZA KWA MABEKI

2.BEKI WA SIMBA ANASABABIBISHA PENALT YA AJABU AJABU AMBAYO MAREFA 6 WAMETIWA UZEZETA

3.BEKI KISIKI WA YANGA ANAPIGWA MAKOMBORA YA HATARI ANAUMIA KIMIUJIZA ANATOKA

4.BEKI WA SIMBA ALIYESABABISHA GOLI ANAFUNGA GOLI LA KIMIUJIZA

5.ILIKUWA SIO MECHI YA UWANJANI BALI KUNA WABABE WAKICHAWI WALIKUWA WANAPAMBANA NJE YA UWANJA
 
Sven ana leseni ya Ukocha wa UEFA
Anakaa na wachezaji kambiñi na mazoezini, anawajua vizuri
Anaipenda kazi yake,lazima apange kikosi bora kulingana na mechi.
Lakini unakuja wewe shabiki wa Utopolo unajiamulia tu Fulani hafai, utafikiri ni wewe unayewafanyisha mazoezi na kuandaa program.
Ijue nafasi yako Ujuaji haufai , mtu hujawahi kuwa hata kocha wa darasa unaleta Ujuvi.
Unaweza usiwe injinia lakini barabara ikiwa mbovu utajua mpira ni mchezo wa wazi hauhitaji kusomea ukocha kujua mchezaji fulani anafaa au hafai ila pamoja na leseni yake ya uefa bado ana mapungufu kibao
 
Unabisha kishabiki bro simba mna winga wazuri pamoja striker tatizo mkude mnahisi kiwango chake kitakua kile kile na umri ume enda mfano mechi ya jana.

center back yenu haina nguvu wawa na onyango sio pacha nzuri. wawa hastahili kumkalisha ame bench
Kwaiyo jana mkude kacheza ovyo?
 
We unaujua mchezo wa mpira wewe..? makocha wanao fukuzwa timu nyengine hawashindi na wachezaji kambini..?

Leseni ya UEFA ndo inafanya nini uwanjani?

sikujua kama na wewe ni mjinga kihasi hiki
Rekebisha hapo kwenye kihasi, ni kiasi. Umeeleweka.
 
1.WACHAWI WALIKUWA WAMEWEKEZA KWA MABEKI

2.BEKI WA SIMBA ANASABABIBISHA PENALT YA AJABU AJABU AMBAYO MAREFA 6 WAMETIWA UZEZETA

3.BEKI KISIKI WA YANGA ANAPIGWA MAKOMBORA YA HATARI ANAUMIA KIMIUJIZA ANATOKA

4.BEKI WA SIMBA ALIYESABABISHA GOLI ANAFUNGA GOLI LA KIMIUJIZA

5.ILIKUWA SIO MECHI YA UWANJANI BALI KUNA WABABE WAKICHAWI WALIKUWA WANAPAMBANA NJE YA UWANJA
sawa
 
Kwa upande wa simba watafute pacha nzuri centre back nzuri na defensive mildfilder

kwa upande wa yanga nawapa pongezi kwa usajili wao. kiufupi wameimalika kila sehemu sijashangaa mkoko tonombe alipopewa tuzo ya MOTM

WE UMEONA NINI?
Nimeona bongo bado Sana kwenye maswala ya soccer
 
Simba wapumbavu tu wanalalamika yanga kupewa penati wamesahau wao msimu uliopita walipewa penati yenye kufanana na hii ya yanga bora hata ya yanga kizee onyango kimemshika TK master mpaka ndani ya box mapimbi sana nyie.
 
Simba inamapungufu maeneo mawili, beki wa kati mwenye kasi na mshambuliaji anayeweza kutumia vyema nafasi chache anazozipata.
 
Back
Top Bottom