Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

-Mwanamke ameumbwa kuwa msaidizi kwa mwanamme.
-Mwanamke atazaa kwa uchungu ,mwanamme atakula kwa jasho.
-Mwanamke ameumbwa kufanya multi-tasks ndiyo maana akawa msaidizi kwa mwanamme.

Kwahiyo vitu vyote ambavyo wewe(me) unaweza kufanya basi vitaenda kwa ufasaha akikusaidia mwanamke ,kuna vitu vingine hawezi kufanya beki tatu au mamalishe ,hivyo mtu wako wa karibu(ke) ndiyo atakusaidia.

Ngwair ft Jide na FA - Sikiliza.
 
Back
Top Bottom