Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
HongeraWengi wao ni age 18 to 20 ambao bado wanaishi kwa wazazi wao. Hao ndo ninao toka nao Mimi. Wa Dada age hiyo hawawezi kuwa wanamiliki hela. Sichukui mishangazi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraWengi wao ni age 18 to 20 ambao bado wanaishi kwa wazazi wao. Hao ndo ninao toka nao Mimi. Wa Dada age hiyo hawawezi kuwa wanamiliki hela. Sichukui mishangazi mkuu
Elimu ni ufunguo wa maishaElimu ni nini?
Unaenjoy mwenyewe 😊😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitawapa chakula Cha mchana watakaomsindikiza huyu mgonjwa wetu nipo Dodoma,na kuna ness mtoa dozi ni jirani yanguNDUGU wa Mleta mada tumeni namba ya simu ili tufanikishe safari ya mgonjwa wetu kwa michango maana Dodoma mbali na kama zitahitajika kamba natoa ahadi ya kagharamia haya wana jf tujiandae kwa michango Milembe moja hiyo.
Wewe umesha changanyikiwa tayari naona,ni wapi nimeongelea kua na mawazo?You love to stress yourself eeh?
Unadhani kuwa na mawazo mengi ndio utu uzima?
I am forever Young
Rijali hawezi kusema hivyo.NDUGU wa Mleta mada tumeni namba ya simu ili tufanikishe safari ya mgonjwa wetu kwa michango maana Dodoma mbali na kama zitahitajika kamba natoa ahadi ya kagharamia haya wana jf tujiandae kwa michango Milembe moja hiyo.
Umbeya tuHii ni mada ya Wavulana,
Wanaume haituhusu,
Tafadhali,neno Wanaume litolewe hapo kwenye heading na liwekwe neno Wavulana.
Eh mashauzi mengi
Njoo PM kuna zawadi yako.Umbeya tu
Nimesoma nyuma ya sentensi yako. Nyuma ya sentensi yako unamaanisha hicho. Kwamba kuwa na mawazo mengi au kuwaza mavitu complex ndio utu uzima.Wewe umesha changanyikiwa tayari naona,ni wapi nimeongelea kua na mawazo?
Ati mambo? Sio nakupenda au babe, I miss you?Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Wahi Mirembe wewe,naona umejipa kazi ya kuwalisha watu maneno yako.Nimesoma nyuma ya sentensi yako. Nyuma ya sentensi yako unamaanisha hicho. Kwamba kuwa na mawazo mengi au kuwaza mavitu complex ndio utu uzima.
Ulitaka niandike kuhusu rasimu ya katiba mpya ya Warioba au uchaguzi wa serikali za Mtaa ndio unione mtu mzima..
Zaidi ya foolish ageFoolish Age.