Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Cardinal de Retz, 1613-1679, aliwahi kusema "It is even more damaging for a minister to say foolish things than to do them". Hichi ndicho kilichomkuta Nape NNauye, Rais Samia hapa ameonesha uthubutu mkubwa sana, wanademokrasia tunampongeza kwa hili.
 
Unasema nini mkuu? Unafahamu jinsi Samia alivyowajaza ndugu zake ikulu na serikalini na pia jinsi alivyowajaza wazanzibar na wapemba ktk sehemu nyeti hapa Tanganyika? Wewe hili hulioni?
Weka ushahidi siyo unachukua story zako kutoka PAROKIA YA MCHAMBA WIMA UNATULETEA HAPA JF,MARUFUKU..!!
 
Yaan ww ndi
Mungu hawezi kuwaacha watanzania waibiwe, na pia waongozwe na wajinga na wapumbavu na pia majambaz kama hao, miaka yote.Enough is enough.
 
Sasa Broo Pasco
 
Anaweza asiwe na ushawishi ila anateam strong lazima ulijue hili pia
Makamba yupo nyuma ya kila uzi unaouna humu jukwaani ukiushambulia Uzanzibari wa SSH, alitaka kumtisha ili afanye kazi kwa uoga na yeye aweze kuwa huru na kutanua zaidi.

Mtetezi wa SSH ni kazi zake kwa wananchi na ameshatambua hilo na analiwekea msisitizo kila siku anayokuwa pale ikulu.
 
Mara 100 biteko japo naona Biteko ndio PM ajaye..

My Take: Hakuna PM atakuja kuwa Rais Nchi hii,haipo
 
Una ushahidi wa hicho unachokiandka tukija kukuuliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…