Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

Toa ushauri sasa nini kifanyike
 
Kelele za nii? Mama aliruhusu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Kama wewe huna kamba ya ulaji shauri yako.
 
Utajiri unaopatikana kwa style hiyo sio sustainable. Hakuna financial discipline na wenyewe hawana business acumen. Wanachoweza ni kutumia vibaya nafasi walizonazo katika utumishi wa umma. Ukiwakatia mirija utajiri wao unayeyuka kama mshumaa!
what do you mean si sustainable? Sheli za Panone zimekufa? Ile hotel pale Arusha Ngurudoto au crest sijui hivi imekufa? Alie bagazwa ni Ridhone kwanini unamleta miraji hapa?
 
Kelele za nii? Mama aliruhusu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Kama wewe huna kamba ya ulaji shauri yako.
Haha ha ha ha ! umeguswa wapi! Ni kaka, dada, mjomba, Baba au mama!

Kama una kamba shida yako nini, tulia na kamba yako, acha watu waseme

Mfanyakazi wa Umma anayelipwa milioni 15, na serikali kugharamia gari, mafuta, nyumba, wafanyakazi wa ndani, chakula n.k. hawezi kununua Bentley , Ferrari au Bugatti.

Tatizo ni pale ''urefu wa kamba'' zao unapogusa mtu anayeishi kwa dollar 1 kwa siku. Hilo Deni la T 107 hawalipi wenye kamba wanalipa walala na waamka hoi! hao unaosikia wakisema mitano tena ili wapewe sare za mau ua.
 
Trillion 1.5 alizipeleka wapi? CAG wa wakati huo alimuuliza kwa niaba ya watanzania akatimuliwa kazi.

Tangu 2015 Tanzania hatujapata rais.
Kaka hivi unazijua trillion 1.5 lakini? Yaan bilioni ziwe elfu moja na mia tano

Sasa hebu niambie kama kweli angechukua hizo bilion elfu moja na mia tano leo hii hao watoto wake wangekuwa wanaishi maisha hayo tunawaona nayo? Huyo Jesca mwenyewe kuna kipindi nafikiri 2023 watu walimuona anashuka kwenye Uber... sasa hebu tueleze wewe baba yako akuachie trilion 1.5 halafu uwe unatumia usafiri wa Uber?

Mpaka pale mtakapotupa ushaidi usiokuwa na shaka kuwa Magufuli alipita na 1.5t yetu ndio tutaamini kweli na yeye alikuwa mwizi... vinginevyo tutaendelea kuona hizi tuhuma ni ngonjera tu ambazo zilisukwa na Assad swahiba wake mkubwa na Kikwete.
 
Si tuliambiwa mama anafungua nchi? Basi kila aina ya takataka inaingia nchini na kutoka bila shida yoyote.
 
Kwamba Samia anapenda demokrasia? Are you serious ng'ombe wewe?

Huyo Samia angekuwa kweli mwana demokrasia leo hii achilia mbali kukubali reform, bali Mpina angekuwa anagombea Ubunge kupitia CCM maana kwa kura halisi za wajumbe Mpina alishinda kwa zaidi ya 88%, ila Idd Amin mama kwa hila zake aka mkata na kumteua chawa wake ndio awe mgombea wa CCM.. sasa hapo ndio unatwambia kuwa mama ako samia ni mwana demokrasia?

Halafu nikuibie siri tu kinachofanya wabongo wengi wanamchukia mama ako samia wala hata sio uminyaji wa demokrasia sijui uhuru wa kutoa maoni, hapana bali ni kuigeuza Tanganyika kuwa mali ya wachache huku majority ya wanainchi wakitaabika, Samia kwa makusudi ameruhusu kikundi kidogo sana cha watu kufanya ufisadi wa kufuru wa wazi wazi na hata pale inapobainika anashindwa kuwachukulia hatua.... imagine unamuona mtoto wa DG of TISS anachezea hundreds of dollars, halafu huku kitaa maisha yanazidi kupanda gharama na hela haionekani... wewe utafikiri watu wataacha kumchukia Samia?

Samia na genge lake la majizi wenzie ni malimbukeni sana yaani hawajui hata kuwaibia wabongo kistaarabu... acha wanainchi wamchukie na mwisho wake hauko mbali sana.
 
Trillion 1.5 alizipeleka wapi? CAG wa wakati huo alimuuliza kwa niaba ya watanzania akatimuliwa kazi.

Tangu 2015 Tanzania hatujapata rais.
Huyo wa 2005-2015 naye alikuwa na lipi lenye tofauti na mama kwa sasa? Si ndio alianzisha hii chain ya ufisadi inayotulamba hadi leo hii?
 
Magufuli alishtumiwa kwa ukweli wake dhidi ya wanasiasa uchwara, mafisadi na watumishi wa umma waliotumia madaraka yao kwa manufaa binafsi
Binafsi naamini ukiona mtumishi wa uma hasa mbongo anamchukia sana boss wake, ujue ni kwa sababu boss huyo amenyooka hajampa uhuru wa kufanya wizi,uzembe na kila aina ya ushenzi... na pia vile vile ukiona mtumishi wa uma anampenda na kumsifia sana boss wake ujue ni kwa sababu ananufaika na udhaifu wake.

Sasa hivi hakuna mtumishi wa uma ambaye anamchukia samia, wanampenda vibaya mno mpaka wengine wanathubutu kusema yapaswa atuongoze hata kwa miaka 20... yote haya hili wamalizie kujenga magorofa yao kwa pesa za walipa kodi wanazokwapua huko.
 
Alikuwa hajui hata kuongea mbele za watu, alijawa na ushamba wa kiwangocha lami.
Haya hawa wajanja na wanaojua kuongea wamekufikisha wapi mkun..du wewe zaidi ya kukuibia tu?

Mbona una hoja za kishoga mtoto wa msimbe wewe?
 
Wow!

Hivi watu wa ikulu huwa hawafanyi background checks za watu anaokutana nao Rais?


Shameful.
Huo muda hawana, pale ikulu hata kama wewe una record ya kesi ya ugaidi na dunia nzima inajua, mathalani tu unanuka mapesa basi wewe unapokelewa kama mfalme.
 
Abdul hayuko serikalini. Ni ujinga kumtuhumu kwa ufisadi huyo Abdul.

1. Jiwe alimuweka mtoto wa dadake, Dotto James kuwa paymaster general akawa anamchotea pesa atakavyo..

2. Jiwe alimuweka mtoto wa dadake Heri James kuwa mwenyekiti wa UVCCM......
Abduli hayupo Ikulu ndio kwani ufisadi kuufanya ni mpaka mtu awe ikulu?

Rostam ni fisadi papa je, na yeye yupo Ikulu?

Haya hao wapwa wa Magufuli hebu tueleze ufisadi walioufanya?

Mbona nyie machawa wa serikali ya Samia huwa ni wapumbavu hivyo? Yaan huwa mnatetea ufisadi anaoufanya samia na familia yake kwa hoja nyepesi tena kwa kuhamisha magoli.
 
Jesca hata kushiriki huu uchaguzi HATUMWELEWI! Haya ni maigizo ya aibu!
Ulimwelewa siku ile Pole pole aliposema kuwa wana mtandao ni watu smart sana na wanajua kucheza na akili za wabongo?

Hebu rudi nyuma ukumbuke interview aliyofanya millard ayo na huyo jesca, na jinsi interview hiyo ilivyopewa promo kwa takribani wiki tatu mfululizo...!!

Kumbuka Jesca alikuwa amesahaulika kwenye maskio ya watu, sasa ile interview ilikuwa ni kumrudishia instant popularity....

Miezi miwili baadae Jesca anatangaza kugombea ubunge na hatujui kabla ya hapo kama amewahi hata kuchukua form ya kugombea udiwani... ila this time anagombea ubunge kabisa.

Pia Tukumbuke kuwa Bi chura hakubaliki kabisa huko kanda ya ziwa na watu wana hasira naye sana... hivyo alihitajika mtu ambaye atatumika kama catalyst ya kurudisha mvuto kwanzia kwenye kampeni mpaka kwenye chama kwa ujumla.

Wanamtandao wakachekecha akili wakaona karata nzuri ni kumsimamisha jesca hata kwenye nafasi ya viti maalamu.

Na of course kwa kiasi kikubwa imewapa matokeo tarajiwa, kama umefuatilia kampeni Jesca akisimama kuongea anashangiliwa kuliko hata mgombea uraisi wa ccm, maana kila anapoongea raia wanapata ile feeling ya baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…