Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

Jamaa si ajabu linatucheka Watanzania.

Halafu nimeona limepewa tenda ya kuchapisha vikaratasi vya kura.

Sijui kuna ukweli kiasi gani hapo…
Shida sio huyu bonge, shida ipo kwenye kiti cha maamuzi (rais)
JPM hatucheki bali analia machozi ya huzuni
 
Trillion 1.5 alizipeleka wapi? CAG wa wakati huo alimuuliza kwa niaba ya watanzania akatimuliwa kazi.

Tangu 2015 Tanzania hatujapata rais.
Afadhali yule lakini...hapa huwa nawaza angemalizia second term tungekuwepo wapi kiuchumi?...huyu yuko incompetent nahisi decisions zote zilikuwa zinafanywa na abdul....projekti zote ni zile alizoacha mwendazake , hivyo vituo vya afya, mashule na kuinvest kwenye kilimo ni hela zetu WATANGANYIKA kutudanganyia tusione ufisadi wake!! WATANZANIA KABLA HAMJAPIGA KURA MSIANGALIE SIJUI UMEME MPK VIJIJINI SIJUI VITUO VYA AFYA UPUUZI GANI, MUANGALIE HUYU MAMA KATUNYANG'ANYA VINGAPI NA AKIPEWA TERM NYINGINE NINI KITABAKI TUTAKACHOJIVUNIA NI URITHI LEFT?! ANYWAY TANZANIA INATIA HASIRA SANA, NI MAHALI PEKEE WATU WAKO TAYARI KUSPEND MILLIONS KWENYE UCHAGUZI WAKATI KIONGOZI/RAIS TAYARI ANAJULIKANA......XΒ£#Γ·Γ—**&^%!!
 
Magufuli alishtumiwa kwa ukweli wake dhidi ya wanasiasa uchwara, mafisadi na watumishi wa umma waliotumia madaraka yao kwa manufaa binafsi
 
Abdul amegeuka kuwa Mwekezaji wa kimataifa, wa masuala ya umeme
Hebu connects hizi dots..
Yule jamaa ana kampuni inayowekeza katika masuala ya energy kwa sehemu kubwa umeme...
Lifestyle la yule jamaa ni ma rolls royce na magari ya kifahari, kwa maana jamaa alinunua hadi private jet gulfstrem G700..
Halafu connect na hicho unachosema hapo dogo na yeye anawekeza kwenye energy..

Je lile jamaa ndio mentor wake?
 
Mpambanaji kwa kutapeli?
 
Khaaaaa inaumizaaaa
 
Khatari biggie ndani ya jumba jeupe

Tycoon Wicknell Chivayo​




View: https://m.youtube.com/watch?v=etphddL1ECQFive things you probably did not known about the flamboyant businessman Wicknell Chivayo:
  1. He shares a birthday with Zimdancehall musicians, Soul Jah Love and Lady Squanda.
  2. The businessman who is popularly known as Sir Wicknell, was born Wicknell Munodaani Chivayo
  3. Chivayo attended his primary school at Dudley Hall Primary School before enrolling at Churchill Boys High School for his secondary education. He however dropped out of school while in form 2 due to financial reasons.
  4. After dropping out of school, Wicknell worked for a local bus company as a wages clerk while aged 15. He later became an illegal money changer at Harare’s Union Avenue Flea Market (now Kwame Nkrumah Avenue) where he alleged stole US$6 million from an investor in Victoria Falls.
  5. Wicknell has made several donations over the years including donating a VW Beetle and paying 3 years worth of tuition for Big Brother contestant, Maneta Mazanhi. There were rumours that the two were an item and in a relationship, however Wicknell denied this at the time.
  6. , Chivayo was quoted as saying he gets tenders where he is paid millions of dollars:
 
Mtanikumbuka sio kwa mabaya Ila kwa mazuri.
Tuwekeeni ushahidi wa wizi alioufanya JPM kwa ushahidi?
Japo alibana matumizi Ila aliyoyafanya yalionekana
 
na ndo maana hayupo, when the cat s away, the mice will play ...
 
Kuna ukweli wowote wa jiwe kutwaa maelfu ya ekari za ardhi Karagwe kwa ajili ya ranchi yake na kiwanda cha maziwa??
 
Haimsumbui na wala chochote hakimshtui kwa sababu anajua urais kaupata kwa ngekewa. Hana mtu wa kumuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…