Sawa.Huo mstari unazungumzia makundi mawili.
Waliokoma kupata hedhi (hao wa menopause) na wasiopata hedhi, ambao kimsingi ndiyo hao watoto.
Kasome huo mstari mwanzo hadi mwisho kisha urudi tujadiliane.
Pili, hatuna shida yoyote. Ninyi ndugu zetu mko kwenye denial ya mapungufu ya kitabu cha waarabu, mnatuchukia kaka na dada zenu kwa ajili ya waarabu.
Eh!πView attachment 3067658
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.
Mfia dini au mfia duni.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.Ndio tatizo huwezi kukamata watu kwa kusema uongo zaidi unaumia roho wewe binafsi π π π Mzushi , unaandika kwa chuki kama vile uislamu unakuzibia riziki .
Kile kitabu nimesoma mda wewe ulikuwa hata simu huna , mule ndani ni uzushi tu na uongo kama wako.
Kanusha hivyo vifungu vya Allah wenu usichanganye habari za wamarekani. You can't justify wrong by another set of wrongwatu wanaoongoza kwakuua hapa duniani niwadini gani?
unawajua wamarekani wewe?unawajua warusi?waingereza unawajua?
ushawahi kusikia Saudia au misri wamepeleka siraha zamaangamizi nchifulani?
zinduka nabichwalako kubwa lililojaachuki zakijinga
Okay, basi tufanye sio watoto pekee, bali ni watoto na hao wenye hiyo amenorrhoea.Sawa.
Ukitoa Wanawake waliofika menopause jee Wanawake wasiopata hedhi ni watoto pekee?
Kasome primary and secondary amenorrhea kisha Njoo tena hapa.
Hiyo ya watoto Pamoja na wenye amenorrhea umeitoa wapi kwenye hiyo aya?Okay, basi tufanye sio watoto pekee, bali ni watoto na hao wenye hiyo amenorrhoea.
Je, inabadilisha chochote?
Uislamu unaruhusu kuoa vitoto vidogo na mtume alioa katoto..
Hiyo Iko wazi, unabishania nini exactly?
Mbona hamuamini kama Mariam alibeba ujauzito bila kukutana na mwanaume?Kisichowezekana kwa binadamu kwa Mungu kinawezekana..kataaaaa sasa!
Wewe ndiyo uliileta hiyo amenorrhoea kwenye mjadala.Hiyo ya watoto Pamoja na wenye amenorrhea umeitoa wapi kwenye hiyo aya?
Mimi hoja yangu ni Kwamba kwanini hiyo aya isiwe inawakusudiwa Wanawake wenye shida kama amenorrhea pekee?Wewe ndiyo uliileta hiyo amenorrhoea kwenye mjadala.
Labda useme uliileta ya nini.
Context inadhihirisha hivyo.Mimi hoja yangu ni Kwamba kwanini hiyo aya isiwe inawakusudiwa Wanawake wenye shida kama amenorrhea pekee?
Wewe suala la watoto umelitoa wapi?
Si sawa kumdharau yule anayeheshimiwa na wengine. Unakuwa unajipunguzia Ushawishi wako kwa watu wenye akili mimi siwezi kuja hapa nikamtolea lugha chafu Yesu au Paulo kudhibitisha hoja zangu nitasikilizwa na watu wasio na akili.Context inadhihirisha hivyo.
Muddy alikuwa kaoa mtoto. Na si pekee, hata watu wake walioa vitoto visivyopata hedhi.
Sasa unadhani walikuwa wanaongelea wanawake wenye amenorrhoea? Unaongelea tatizo rare as if lilikuwa common kiasi cha kufanyiwa reference.
Quran isiwe na aya za kishamba?we jamaa UELEWEKI.
Ni bora kuhusu Bible umekuwa straight forward kuwa ni Kitabu cha kishamba ila kuhusu Kuran umekuwa na kauli Mbili.
Kuna wakati kuran umeisoma na haina AYA za kishamba na Kuna wakati Kuran inakuwa na AYA za kishamba.
P
Hakuna muisilamu anayekataa hilo lipo wazi.Mbona hamuamini kama Mariam alibeba ujauzito bila kukutana na mwanaume?
Soma hizo amri kwenye Agano jipyaMimi siamini katika hizi hekaya za kuruwani na bibilia
Ni UTUMWA wa kifikra
Hebu check na hizi haya za bibilia pia πππ