Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Yule ni mmoja wa wazee ambao kama Taifa hatunafaiki naye kwa busara.
Hapa namuangalia mrembo wake wa ilala Jihan....ni mrembo kwelikweli alifaa kuwa miss tz walimuonea Le Mutuzz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni mmoja wa wazee ambao kama Taifa hatunafaiki naye kwa busara.
Atakua anafanya marekebisho ya mwisho kwenye apartment yake mpya ya ukweli amechoka kukaa nyumbani,ila natumai ina nafasi ya kutosha asije geuza sebule gym na kiwanja cha samasoti...Hapa namuangalia mrembo wake wa ilala Jihan....ni mrembo kwelikweli alifaa kuwa miss tz walimuonea Le Mutuzz
Hapa namuangalia mrembo wake wa ilala Jihan....ni mrembo kwelikweli alifaa kuwa miss tz walimuonea Le Mutuzz
Mum na huku hupo?
Atakua anafanya marekebisho ya mwisho kwenye apartment yake mpya ya ukweli amechoka kukaa nyumbani,ila natumai ina nafasi ya kutosha asije geuza sebule gym na kiwanja cha samasoti...
Hahahaaa unapenda sana kumuonea Le Mutuz jamani....
Ha ha ha...hapana bwana,yeye anasema kadiri anavozungumziwa anatengeneza pesa,sasa mie nia yangu ni kuona jina lake linatajwa Forbes kuwa yeye ni billionea pia
isipokua ana shida na sitti mtemvu tuu. yaani ukishinda umiss bila ridhaa yake lazima akupe shida aiseeee hata kuacha kabisaaaa.Wewe subiri tuu,siku atakayotajwa ndio mtamkubali...mimi nampenda Le Mutuz hana shida na mtu kabisa...he is so funny..
isipokua ana shida na sitti mtemvu tuu. yaani ukishinda umiss bila ridhaa yake lazima akupe shida aiseeee hata kuacha kabisaaaa.
Hahahaha u knw madebe matupu hahaha halafu hayana shule u knw mburulazzz I like it hahahaha
Mkuu acha kujipendekeza kwa sana, mtoto wa kiume wewe. :cool2:
Wewe subiri tuu,siku atakayotajwa ndio mtamkubali...mimi nampenda Le Mutuz hana shida na mtu kabisa...he is so funny..
Pia ni mjumbe wa UVCCM.....
Akina mfano wa Kardashians mnaoshinda mnaangaliabpicha na vipindi vyao wamefanya nini kujulikana hivyo.
Mwacheni wenzenu na bahati na nyota yake.
Mie sioni inawahusu nini kumponda na nyie mmefanyia nini jamii.
Mnapenda ku mfollow na mambo yake then unaleta mada kuuliza hii imekaa ki wivu.com
Kama ana degree hana atajiju, wewe inakuhuuuu nini?