Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Unatapeliwa vip kwani jamaa kasema apewe yeye,yeye katoa mchongo kama unaweza au una mtu dom mcheki mfanye nae kazi sio lazima yeye ninyi mnadhani dili za hela utapewa na mjomba ako au kaka yako pekee kwa wafanyabiashara hapo anaangalia kama hiyo bidhaa hakuna zipo zingine zinazoendana na hiyo pia zitakua hakuna...
 
Asante Kwa kutoa fursa

Ni wachache wanao fanya kama wew

Ila capital inabidi kuwa nayo ya kutosha

83000*200= 16,600,000

Ili upate 600K if business go smoothly kwaizo 2 day
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa, ujue ww ndo fursa yenyewe
 
Kuna watu wanataka kufanywa fulsa hapa ni swala la muda tu[emoji23]
 
Ukiona fursa ujue hiyo fursa ndio wewe
 
Hiyo ni overrall ila unaweza hata kuagiza carton 10x84.000=840.000

Sio lazima carton 200.

What i discover humu ndani kuna vitu vizur ila kuna wapiga kelele pia wanaweza kukukata maini.ilinitokea mwaka huu mwezi wa 4 nilikuja humu na idea yangu kuna watu wali crash ila nilipambana nikafanikiwa na ndani ya miezi mitatu nilitengeneza milion 6 within 3 month.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Hii bidhaa inapatikana wapi na n kwa ajili gani ( matumiz )
Glycerin nnayuijua mm ni kama dry lotion kwaajili ya ngozi kuhusu swala la kupatikana naamini unaweza kuipata kariakoo maduka ya jumla yapo opposite na kituo cha mwendokasi gerezani ukikosa hapo ingia mt. Wa kongo

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…