Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Hapana mtu anajitolea kutoa mchongo halafu linatokea limtu tu linasema linataka kutapeliwa sijui hizi akili za kijinga watu wanazitoaga wapi
Hapana bhana mbona sioni haja ya wewe "kupanic"

Prove them wrong! Tambulisha bidhaa unayoshirikisha watu kwa nia ya kuwasaidia, then waambie namna business itakavyoingiza hizo faida .

Kwa mfano mie na mawazo sawa na ya hao kwa sababu nyingi TU.

1# Hujasema ni biashara gani, huwezi siamini kama hata muuza mchicha mwenye mtaji wa elfu ishirini atakuwa na worth elfu 20 kama itakavyo kuwa kwa mwenye mtaji wa 1mil. Nachomaanisha hapa hujawa specific kwani there's exceptional to the general rule.. wewe hapa umefeli.

2# Namna ulivyowasilisha idea yako ni ile ile inayotumiwa na matapeli. Kwahiyo ulipaswa uwe sipesifiki.kabisa ili watu wakuamini.

3# Namna unavyowajibu ni ishara kwamba biashara hiyo ni ya kitapeli au unataka uwafanye madili wao wenyewe kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu.

4# Hoja ya kusaidia,

Sina hakika kama kuna watu bado wana roho hizo za kiwango ulichokisema. Msaada wa mtu ku make faida ya laki 6 siyo rahisi kwa dunia ya leo.

Tafadhari, povu ruksa ila nikijibiwa kwa staha na hoja itakuwa vizri zaidi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea kwa busara sana mkuu..

Chukua hii.
Kama una hela nenda Dar chukua Bannister glycerine 50mil kulingana na uwezo wako leta Dodoma, kwa Dar inapatikana kwa 83000 mpaka 83500 usafiri kutoka dar mpaka dodoma kwa carton ni 1000 jumla 84000 mpaka inafika hapa, kwa hapa inauzwa 90000 kwa carton ukileta hata 200 zinaisha ndani ya siku mbili mzigo umeisha. Ukihitaji usaidizi wa chochote ukishafisha mzigo wako unaweza nitafuta. Ahsanteni mapambano mema katika kutafuta ugali
Sasa hapo umesema na watu tumekusikia 'loud and clear'. Utusamehe tulionesha mashaka juu yako. Nadhani angle uliyokuwa umesimama ilikuwa na giza kidogo.
 
asante chief kwa kuweka clarification, wale wote wenye uhitaji mabano yameshafunguliwa kazi kwenu...
 
Bure aghali!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20211125-160531.jpg
 
Kwa kifupi mtoa mada ameharibu kupumbaza watu kwa neno faida ya laki sita kwa siku lakini kiuhalisia ni hivi 84000X200=16800000
Yaani kumaanisha una invest milioni 16 na laki 8 kwa kupata faida ya 1200000(milioni na laki mbili)
Bado hapo mauza mauza hayajatokea!kwa kifupi hamna pesa yeyote humu zaidi yakutoa sadaka mtaji wako![emoji28]
 
umekuja na ID nyingine sio, utakamata wajinga
Unazingua..jamaa kaleta idea ya biashara na katoa info zote mwisho kaweka namba..kwani kuna mtu amempigia ametapeliwa? ili ni jukwaa huru na sioni tatizo kwa mtoa mada mpaka anashambuliwa wakati...thread inajieleza
 
Nilichokiona watu wamepigwa sana na vitu vizito kichwani sasa unavoleta jambo aseee liwe linaelewaka tunatamani Ila hatuaminiani dah[emoji3166]
 
Back
Top Bottom