Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Mleta uzi huenda sio tapeli ni ana lengo la kutoa fursa...
But kwa waliowahi tapeliwa kwa maneno mazuri lazima uwaelezee kidogo kama una lengo la kuwasaidia...
Wakuu kuna msemo shetani huwa haonekani anapokuja,,, ila anapoondoka ndio hujulikana...
Kuna kitu mjini kinaitwa kutengeneza demand ya bidhaa... Yaan mf. unatangaza kuwa glycerine zimepanda dodoma,,, na wewe ndio umeingiza mzigo dsm...
So una direct watu wachukue mzigo dsm ukijua kabisa wew ndio mwenye mzigo wa bei chee(Chimbo)... Then baada ya hapo wakienda dom wanakuta hamna business na wewe unakuwa tayari ushauza mzigo wako....
InFact mkuu kama kuna mchongo piga tu mwenyewe au shirikisha wana wanaokuzunguka..., Waswahili bado akili zetu hazijakubali uaminifu kama bado upo... Hvyo utapata tu hasira na ukute ulikuwa na lengo la kusaidia...