Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Mkuu why ukiulizwa maswali hujibu unakuwa mkali yaani msaada unautoa kwa stahili hii😬
Hapana mtu anajitolea kutoa mchongo halafu linatokea limtu tu linasema linataka kutapeliwa sijui hizi akili za kijinga watu wanazitoaga wapi
 
Binafsi sioni kosa na mtoa uzi,nadhani ukimpigia atakupa details kuhusu hiyo Biashara,kisha ni jukumu lako mpigaji kufanya Research husika kabla hujaingia kwenye hiyo Biashara,sasa mnaomtuhumu nadhani mnakosea sana
Wabongo watu wa ajabu ajabu sana
 
Watanzania Mentality za kiwiziwizi tu ndo zimejaa vichwani, ili ni tatizo kubwa sana. Ila ukiwaletea dili ya kupata 4000 kwa siku anafurahia, ila deal ya hela nyingi wanaona wizi sababu ya mawazo finyu
Weka wazi hyo deal watu wachambue na kushauri Kabla ya mtu kupoteza kifuta jasho chake,Ajabu unataka kwenda kuongelea gizani?
 
Back
Top Bottom