Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Hapana mtu anajitolea kutoa mchongo halafu linatokea limtu tu linasema linataka kutapeliwa sijui hizi akili za kijinga watu wanazitoaga wapi
Kama una nia ya dhati ya kusaidia wengine na una uhakika na hiyo biashara sidhani kama unatakiwa uwe mkali au uwe na makasiriko na yoyote anayepata wasiwasi na hiyo biashara yako.ungetumia tu kauli nzuri kuwaelewesha badala ya kua mkali.Kwasababu watu lazima wawe na mashaka kwasababu ata matapeli wanatumia njia kama yako na mara nyingi wanakuaga wakali wakiulizwa maswali hasa yanayohusiana na mtu kuonyesha kutokuamini hiyo biashara.Kama unajiamini just be honest.
 
Mtu haulizi bali anajudge unamweleza nini zaidi ya kumjibu sawa upumbavu wake
 
Binafsi sioni kosa na mtoa uzi,nadhani ukimpigia atakupa details kuhusu hiyo Biashara,kisha ni jukumu lako mpigaji kufanya Research husika kabla hujaingia kwenye hiyo Biashara,sasa mnaomtuhumu nadhani mnakosea sana
Hahahaha umefungua na account nyingine ya kukusupport mzee baba hahaha.. cha ajabu kuna mtu atapigwa hapa!!
 
Back
Top Bottom