Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Siku sio nyingi kuna mtu ataleta uzi hapa unaosema "NILIVYOTAPELIWA KWA KUDANGANYWA KUUNGANISHWA KWENYE BIASHARA YA KUPELEKA MABOX DODOMA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana bhana mbona sioni haja ya wewe "kupanic"Hapana mtu anajitolea kutoa mchongo halafu linatokea limtu tu linasema linataka kutapeliwa sijui hizi akili za kijinga watu wanazitoaga wapi
Sasa hapo umesema na watu tumekusikia 'loud and clear'. Utusamehe tulionesha mashaka juu yako. Nadhani angle uliyokuwa umesimama ilikuwa na giza kidogo.Umeongea kwa busara sana mkuu..
Chukua hii.
Kama una hela nenda Dar chukua Bannister glycerine 50mil kulingana na uwezo wako leta Dodoma, kwa Dar inapatikana kwa 83000 mpaka 83500 usafiri kutoka dar mpaka dodoma kwa carton ni 1000 jumla 84000 mpaka inafika hapa, kwa hapa inauzwa 90000 kwa carton ukileta hata 200 zinaisha ndani ya siku mbili mzigo umeisha. Ukihitaji usaidizi wa chochote ukishafisha mzigo wako unaweza nitafuta. Ahsanteni mapambano mema katika kutafuta ugali
Kumbe na wewe hauna hela?.halafu unatupa konekisheni ya kuingiza laki sita [emoji1787][emoji1787]Masikini tusio na hela tuna maneno mengi sana. Mungu atusaidie
😀😀😀 Ngoja tusubiri shuhudasio kiivyo
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116][emoji116]Bure aghali!
Unazingua..jamaa kaleta idea ya biashara na katoa info zote mwisho kaweka namba..kwani kuna mtu amempigia ametapeliwa? ili ni jukwaa huru na sioni tatizo kwa mtoa mada mpaka anashambuliwa wakati...thread inajielezaumekuja na ID nyingine sio, utakamata wajinga
Mifano mfu..hauna akili weweAkina bakresa ,Mo, Dangote ni matajiri ila bado wanatafuta hela nani alikwambia hela inajaa
Umeamua kuja na ID mpya,