abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Assuming you're the only organism in your environment? 😂😂😂😂😂Huwezi kupata ukweli, ila kwa utafiti mdogo ukichukua mabaki ya vyakula, nyama n.k ukayatenga sehemu, baada ya siku kadhaa huo uchafu/mabaki ubadilika na kutoa viumbe tunaowaita wadudu.
Kwa mazingira hayo, kuna uwezekano mkubwa pia binadamu akawa ametokana na uozo wa malighafi fulani ambayo kwa sasa hayapatikani.
Nimeeleza hapo awali kuwa tuna matatizo mengi sana ya kuelewa haya mambo kutokana na lugha tu.Nyani as in Apes. Not as in monkeys.
So early human beings walikuwa apes.
We are modernized apes na sayansi inasema hivyo na inasupport theory hiyo.
Na yeye swali lake kuhusu nyani kubadilika aje alilete baada ya miaka hiyo hiyo.Subiri utaona baada ya miaka milioni 800 🤣.
Wewe unaamini evolution theory kwenye chimbuko la asili ya binadamu?Historia haituambii hivyo,
Evolution haisemi binadamu wa kwanza au waliomfuatia walikuwa nyani/sokwe/chimpanzee
Kwenye classification hakuna monkeys na apes. Kuna primates. Sisi sote. Yaani binadamu, nyani, sokwe(apes), lemurs, Orangutan nk nk ni primates. Tuna common ancestor. Kila mmoja ameevolve kwa namna yake.Nyani as in Apes. Not as in monkeys.
So early human beings walikuwa apes.
We are modernized apes na sayansi inasema hivyo na inasupport theory hiyo.
Na baada ya miaka trillion 2 sisi binadamu sijui tutakuwa ni viumbe gani tu…Na yeye swali lake kuhusu nyani kubadilika aje alilete baada ya miaka hiyo hiyo.
Punda aliongea Kwa kuwezeshwa kuongea na baada ya kufikisha ule ujumbe Kwa Balaam Yule aliemuwezesha kuongea aliondoa ule uwezo... Kuhusu nyoka kuongea nadharia yangu ni kwamba Adam alikuwa ana coexist Katika two (2)realms at the same time pia mkewe Eva ndio maana walikuwa wanaweza kuongea na nyoka Baada ya kupoteza realm moja wakawa watu wa kawaida kama wewe na mimi tulivyo leo..Hakuna uhakika wa chochote zaidi ya kudandia laws na theory..Hata kama sio evolution, the fact ni kwamba tunajadili yale yaliyosimuliwa kufanyika nyakati za nyuma tunataka kuyaona yakiendelea kufanyika na sasa kupitia character wale wale ambao hadi saizi wapo.
Na sio tu nyoka hadi Punda naye stori zake tunazo kuwa aliongea.
Tuambieni kwanini punda wa saizi hawaongei?
Miaka 200,000 iliyopita tulitoka msituni?Kwenye classification hakuna monkeys na apes. Kuna primates. Sisi sote. Yaani binadamu, nyani, sokwe(apes), lemurs, Orangutan nk nk ni primates. Tuna common ancestor. Kila mmoja ameevolve kwa namna yake.
Kulingana na evolution ya mwanadamu. Binadamu tulikuwa kama primates wengine. Tukiishi kwenye misitu ya Africa Mashariki. Tulijaa manyoya na tulikuwa na ngozi nyeupe. Tukiruka mitini. Kama sokwe walivyo na wanavyofanya leo.
Miaka 200K iliyopita tulitoka msituni na kuingia kwenye Savannah ya East Africa. Sababu ya jua la savvanah tukapoteza manyonya. Ngozi yetu nyeupe ikawa nyeusi. Na pilika za savannah zikafanya tutembee kwa kusimama, kutumia zana na maendeleo mengine. Kutoka hapo ndiyo tukasambaa dunia nzima.
Kwa ufupi, uhusiano wetu na "apes" ni kama uhusiano wa Chui, paka na Simba. Au ng'ombe na nyati. Ni wanyama wenye common ancestor. Walio kwenye order moja. Kusema binadamu wametokana na apes ni sawa na kusema Simba wametokana na Chui.
Mama gani? Jina lake nani?Alihamia porini wapi? Lini? Ali test nini kwenye evolution? Unajuaje kwamba aliambulia patupu? Habari za hii test zimechapishwa wapi?Kuna mama mmoja wa kizungu alihamia kabisa polini na kuishi na Sokwe kwa takriban 10 years. pamoja na mambo mmengine alitaka ku test hiyo hypothesis ya evolution, Lakini aliambulia patupu.
Waliokula rushwa wote miaka 100 ijayo watazaliwa upya kama nyaniNdugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Alitaka kubomolewa kipochi manyoya ama?Kuna mama mmoja wa kizungu alihamia kabisa polini na kuishi na Sokwe kwa takriban 10 years. pamoja na mambo mmengine alitaka ku test hiyo hypothesis ya evolution, Lakini aliambulia patupu.
Sijui kama tutafika huko maana mipango ya Yesu bado hatujaijuaNa baada ya miaka trillion 2 sisi binadamu sijui tutakuwa ni viumbe gani tu…
Au hiyo evolution ndo ilishamalizika?
Mkuu hapanaAlitaka kubomolewa kipochi manyoya ama?
Watu wa dini bana yani madai yeyote mazito ambayo yalihitaji maelezo yenye kina katika kufafanua utata wa tukio, yanakuwa dismissed na kivuli cha miujiza.Punda aliongea Kwa kuwezeshwa kuongea na baada ya kufikisha ule ujumbe Kwa Balaam Yule aliemuwezesha kuongea aliondoa ule uwezo... Kuhusu nyoka kuongea nadharia yangu ni kwamba Adam alikuwa ana coexist Katika two (2)realms at the same time pia mkewe Eva ndio maana walikuwa wanaweza kuongea na nyoka Baada ya kupoteza realm moja wakawa watu wa kawaida kama wewe na mimi tulivyo leo..Hakuna uhakika wa chochote zaidi ya kudandia laws na theory..
Huu ndio uelewa wako wa evolution? Kwamba sokwe ukiwakumbatia wanabadilika kuwa watu weusi?Mkuu hapana
Nadhani alikuwa na hema lake anaishi nao porini anawapa chakula, anakumbatiana nao na anawafatilia asubuhi hadi usiku kwa miaka kadhaa. Miaka hiyo kulikuwa na nadharia miongoni mwa watu weupe kuwa hao Sokwe baadaye ubadilika na kuwa watu weusi (Waafrika).