Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Huwezi kupata ukweli, ila kwa utafiti mdogo ukichukua mabaki ya vyakula, nyama n.k ukayatenga sehemu, baada ya siku kadhaa huo uchafu/mabaki ubadilika na kutoa viumbe tunaowaita wadudu.

Kwa mazingira hayo, kuna uwezekano mkubwa pia binadamu akawa ametokana na uozo wa malighafi fulani ambayo kwa sasa hayapatikani.​
Assuming you're the only organism in your environment? 😂😂😂😂😂
Hata ukitema mate apo saivi unazitema millions of bacterias, wadudu pia hutaga mayai yao kwemye maeneo kama hayo!? Uchafu haubadiliki kuwa wadudu shekhe
 
Nyani as in Apes. Not as in monkeys.
So early human beings walikuwa apes.
We are modernized apes na sayansi inasema hivyo na inasupport theory hiyo.
Nimeeleza hapo awali kuwa tuna matatizo mengi sana ya kuelewa haya mambo kutokana na lugha tu.

Sasa hapo mtu anachanganya apes, chimpanzees, hominids, homo sapiens na nyani.

Inabidi muanze kufundishana Kiingereza kwanza kabla ya kuingia kwenye evolution
 
Waalimu wengi huwa wanapotosha kuhusu evolution theory na hii inatokana na ukweli kwamba natharia hiyo huwa inawapiga chenga kuielewa kwa undani zaidi.

Ukitaka kuelewa kwa wepesi zaidi msomi mkuu kiranga,kaeleza kwa lugha nyepesi na inayo eleweka.
 
FaizaFoxy hivj shule munaenda kusomea ujinga
👇

Nyani as in Apes. Not as in monkeys.
So early human beings walikuwa apes.
We are modernized apes na sayansi inasema hivyo na inasupport theory hiyo.
Kwenye classification hakuna monkeys na apes. Kuna primates. Sisi sote. Yaani binadamu, nyani, sokwe(apes), lemurs, Orangutan nk nk ni primates. Tuna common ancestor. Kila mmoja ameevolve kwa namna yake.

Kulingana na evolution ya mwanadamu. Binadamu tulikuwa kama primates wengine. Tukiishi kwenye misitu ya Africa Mashariki. Tulijaa manyoya na tulikuwa na ngozi nyeupe. Tukiruka mitini. Kama sokwe walivyo na wanavyofanya leo.

Miaka 200K iliyopita tulitoka msituni na kuingia kwenye Savannah ya East Africa. Sababu ya jua la savvanah tukapoteza manyonya. Ngozi yetu nyeupe ikawa nyeusi. Na pilika za savannah zikafanya tutembee kwa kusimama, kutumia zana na maendeleo mengine. Kutoka hapo ndiyo tukasambaa dunia nzima.

Kwa ufupi, uhusiano wetu na "apes" ni kama uhusiano wa Chui, paka na Simba. Au ng'ombe na nyati. Ni wanyama wenye common ancestor. Walio kwenye order moja. Kusema binadamu wametokana na apes ni sawa na kusema Simba wametokana na Chui.
 
Na yeye swali lake kuhusu nyani kubadilika aje alilete baada ya miaka hiyo hiyo.
Na baada ya miaka trillion 2 sisi binadamu sijui tutakuwa ni viumbe gani tu…

Au hiyo evolution ndo ilishamalizika?
 
Hata kama sio evolution, the fact ni kwamba tunajadili yale yaliyosimuliwa kufanyika nyakati za nyuma tunataka kuyaona yakiendelea kufanyika na sasa kupitia character wale wale ambao hadi saizi wapo.

Na sio tu nyoka hadi Punda naye stori zake tunazo kuwa aliongea.

Tuambieni kwanini punda wa saizi hawaongei?
Punda aliongea Kwa kuwezeshwa kuongea na baada ya kufikisha ule ujumbe Kwa Balaam Yule aliemuwezesha kuongea aliondoa ule uwezo... Kuhusu nyoka kuongea nadharia yangu ni kwamba Adam alikuwa ana coexist Katika two (2)realms at the same time pia mkewe Eva ndio maana walikuwa wanaweza kuongea na nyoka Baada ya kupoteza realm moja wakawa watu wa kawaida kama wewe na mimi tulivyo leo..Hakuna uhakika wa chochote zaidi ya kudandia laws na theory..
 
Kwenye classification hakuna monkeys na apes. Kuna primates. Sisi sote. Yaani binadamu, nyani, sokwe(apes), lemurs, Orangutan nk nk ni primates. Tuna common ancestor. Kila mmoja ameevolve kwa namna yake.

Kulingana na evolution ya mwanadamu. Binadamu tulikuwa kama primates wengine. Tukiishi kwenye misitu ya Africa Mashariki. Tulijaa manyoya na tulikuwa na ngozi nyeupe. Tukiruka mitini. Kama sokwe walivyo na wanavyofanya leo.

Miaka 200K iliyopita tulitoka msituni na kuingia kwenye Savannah ya East Africa. Sababu ya jua la savvanah tukapoteza manyonya. Ngozi yetu nyeupe ikawa nyeusi. Na pilika za savannah zikafanya tutembee kwa kusimama, kutumia zana na maendeleo mengine. Kutoka hapo ndiyo tukasambaa dunia nzima.

Kwa ufupi, uhusiano wetu na "apes" ni kama uhusiano wa Chui, paka na Simba. Au ng'ombe na nyati. Ni wanyama wenye common ancestor. Walio kwenye order moja. Kusema binadamu wametokana na apes ni sawa na kusema Simba wametokana na Chui.
Miaka 200,000 iliyopita tulitoka msituni?

Hiyo miaka 200,000 umeihesabuje?

Mwaka namba 1 ulikuwa lini na mwaka 200,000 ulikuwa lini?
 
Kuna mama mmoja wa kizungu alihamia kabisa polini na kuishi na Sokwe kwa takriban 10 years. pamoja na mambo mmengine alitaka ku test hiyo hypothesis ya evolution, Lakini aliambulia patupu.
 
Kuna mama mmoja wa kizungu alihamia kabisa polini na kuishi na Sokwe kwa takriban 10 years. pamoja na mambo mmengine alitaka ku test hiyo hypothesis ya evolution, Lakini aliambulia patupu.
Mama gani? Jina lake nani?Alihamia porini wapi? Lini? Ali test nini kwenye evolution? Unajuaje kwamba aliambulia patupu? Habari za hii test zimechapishwa wapi?
 
Ndugu zangu.

1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?

2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Waliokula rushwa wote miaka 100 ijayo watazaliwa upya kama nyani
 
Kuna mama mmoja wa kizungu alihamia kabisa polini na kuishi na Sokwe kwa takriban 10 years. pamoja na mambo mmengine alitaka ku test hiyo hypothesis ya evolution, Lakini aliambulia patupu.
Alitaka kubomolewa kipochi manyoya ama?
 
Na baada ya miaka trillion 2 sisi binadamu sijui tutakuwa ni viumbe gani tu…

Au hiyo evolution ndo ilishamalizika?
Sijui kama tutafika huko maana mipango ya Yesu bado hatujaijua

Na kufika kwake ndio mwisho wa ulimwengu.

Ila tangu aseme anarudi ni kama ametuachia confusion.

We unaweza ukawa unapiga mahesabu ya miaka trilioni 2 lakini kumbe ye anasubiri mmalize kampeni ashuke
 
Alitaka kubomolewa kipochi manyoya ama?
Mkuu hapana
Nadhani alikuwa na hema lake anaishi nao porini anawapa chakula, anakumbatiana nao na anawafatilia asubuhi hadi usiku kwa miaka kadhaa. Miaka hiyo kulikuwa na nadharia miongoni mwa watu weupe kuwa hao Sokwe baadaye ubadilika na kuwa watu weusi (Waafrika).
 
Punda aliongea Kwa kuwezeshwa kuongea na baada ya kufikisha ule ujumbe Kwa Balaam Yule aliemuwezesha kuongea aliondoa ule uwezo... Kuhusu nyoka kuongea nadharia yangu ni kwamba Adam alikuwa ana coexist Katika two (2)realms at the same time pia mkewe Eva ndio maana walikuwa wanaweza kuongea na nyoka Baada ya kupoteza realm moja wakawa watu wa kawaida kama wewe na mimi tulivyo leo..Hakuna uhakika wa chochote zaidi ya kudandia laws na theory..
Watu wa dini bana yani madai yeyote mazito ambayo yalihitaji maelezo yenye kina katika kufafanua utata wa tukio, yanakuwa dismissed na kivuli cha miujiza.

Pale ambapo hoja nzito zinapokosekana kulikabili swali ndio mahali ambapo miujiza huibuka kama jibu.

Sasa kama waliondolewa uwezo wa kuongea na nyoka, kwanini hatuwaoni nyoka wakiongea peke yao?

Kwasababu tumeona kumbe Mungu aliondoa huo uwezo kwa binadamu tu ila nyoka akamuacha vilevile.

Sasa mbona nyoka hawa wa Gen z hatuwaoni wakipiga stori wao kwa wao??

Don't come up with another fairy tale I'm totally tired of your childish jokes
 
Mkuu hapana
Nadhani alikuwa na hema lake anaishi nao porini anawapa chakula, anakumbatiana nao na anawafatilia asubuhi hadi usiku kwa miaka kadhaa. Miaka hiyo kulikuwa na nadharia miongoni mwa watu weupe kuwa hao Sokwe baadaye ubadilika na kuwa watu weusi (Waafrika).
Huu ndio uelewa wako wa evolution? Kwamba sokwe ukiwakumbatia wanabadilika kuwa watu weusi?
 
Back
Top Bottom