DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Its Bilion na Ilitokana na bing bangI wonder why it’s a billion and not a trillion…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its Bilion na Ilitokana na bing bangI wonder why it’s a billion and not a trillion…
binadamu hakua nyani ila alikua jamii ya nyaniNdugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze,
Evolution bado inaendelea na ipo enforced na mazingira vile vile inachukua muda mrefu sana kiasi kwamba hakuna kizazi kimoja kinaweza kuona mabadiliko kutoka hatua moja kwenda nyingine. Mfano kwa sasa hivi watu wanatumia muda mrefu sana kutumia smartphone sasa ile kukunja shingo wakati unatumia simu taratibu adaptation inaenda mpaka genes kwaiyo kuna uwezekano miaka milioni mbele binadamu akawa na shingo iliyojikunja nyuma hapo unaanzia mgongo.sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
Process haijapause, process inabadilika jinsi dunia inavyobadilika. Hakuna mabadiliko yeyote makubwa yaliyotokea duniani kwa kipindi kirefu.Labda nikuulize,,,toka sokwe WA mwisho kubadilika na kuwa binadamu kuna mwengine ame undergone zile changes hata kukaribia stage ya homo habilis au hio process imepouse???
Mutation ni sehemu ya evolution. Ni agent ya evolution.Samahani Kidogo Mkuu..
Hebu nipe Tofauti ya Mutation na Evolution..
Maana Katika maongezi yako ya Chini Paragraph ya Tano kutokea Chini Umeelzea Mutation badala ya Evolutiion
1: Unajuaje kama hawafiki miaka milion kutokana na mabadiliko ya kalenda kurudisha miaka nyuma?Nyani na sokwe walibadilika na kuwa Binadamu kwa Muda Usiopungua Miaka Milioni ..
kwa sasa hawawezi Kwa sababu hakuna Nyani anayeishi Miaka zaidi ya Milioni kwa Sasa
wewe una uhakika gani kama binadamu aliumbwa kwa udongo ?Wakati unajiuliza hilo sawali, ebu jiulize kwa nini leo mwanadamu haumbwi kwa udongo (refer creation theory).
All in all evolution and creation are just theories.
Tatizo watu hawajui hata evolution inasema nini.Hakuna sayansi inayofundisha kuwa nyani alibadilika kuwa binadamu.
Unaambiwa itachukua miaka mamilioni wao kubadilika wakati hawamalizi hata miaka 50Ndugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Kutaka sokwe abadilike kuwa binadamu ni sawa na kutaka pundamilia abadilike kuwa farasi. Au ng'ombe abadilike kuwa nyati. Au Chui kuwa Simba.Labda nikuulize,,,toka sokwe WA mwisho kubadilika na kuwa binadamu kuna mwengine ame undergone zile changes hata kukaribia stage ya homo habilis au hio process imepouse???
Huyo mnyama wakale aliyekua na sifa za pamoja ambaye ndiye aliyekua babu yetu sisi na nyani, sokwe alitoka wapi ?jibu la swali lako hili hapa
Kazi kweliTatizo watu hawajui hata evolution inasema nini.
Za waafrika si zile za kina kinje.. ukisema maji risasi inabadilika kuwa maji 😀😀😀Za Waafrika ni zipi?
Picha linaanza swali la kichwa cha thread linaanza na "Kama nyani alibadilika akawa binadamu..."Kazi kweli
We jamaa uko vizuri sana,hii ndio jf ya kipindi kile sasaKwanza kabisa hatukuwaacha nyani ambao hawakubadilika.
Watu wengi wanafanya makosa ya kufikiri kuwa evolution inasema zamani tulikuwa sawa na hawa nyani wa sasa, sisi tumebadilika wao hawajabadilika.
Hivyo si evolution inavyosema. Wote tumebadilika. Ila tulikuwa na a common ancestor ambaye alikuwa more ape like, maana yake sisi tumebadilika zaidi.
Kwa mujibu wa evolution.
Evolution inakwenda kwa natural selection. Kuna mazingira fulani yanafanya species fulani zife, nyingine ziendelee kuwapo, nyingine zibadilike.
Kwa mfano, kwenye mazingira ya misitu, wanyama wanaofanana na misitu ile wanaweza kupata advantage ya kuwa camouflaged wakaendelea kuwapo, na wasio na rangi ya hiyo misitu kuwindwa kirahisi na kutoweka, matokeo yake baada ya vizazi vingi wanyama wenye rangi isiyo na advantage ya camouflage watatoweka na wale wanaofanana na msitu wataongezeka na kuwa ndiyo watawala.
Kitu kingine ambacho ni kigumu kuelewa ni kuwa, kwa mujibu wa theory ya evolution, evolution inatokea katika mamilioni na malaki ya miaka, mabadiliko madogo madogo yanalimbikizana na kusababisha mabadiliko makubwa.
Sasa watu wengi wanaohoji evolution wanahoji kama vike wanataka kuona mabadiliko katika umri wao, miaka 30, miaka 50.
Ukitaka kuona evolution katika muda nfupi usiangakie wanyama wakubwa kama sokwe, nyani au watu. Ukitaka kuangalia evolution katika muda nfupi angalia vidudu kama bacteria, virus.
Angalia kitu kinaitwa anti-biotic resistance na jinsi bacteria wanavyojenga resistance dhidi ya dawa.
Unajua kwa nini hospitali hawatumii tetracycline tena? Unajua kwa nini madawa ya zamani ya malaria hayatibu tena malaria inabidi tutumie madawa mapya?
Hiyo ni evolution. Vidudu vimejipanga kuweza kujikinga na dawa, vime evolve.
Ukitaka kuelewa evolution usiangakie nyani na watu, angalia jinsi bactwria na microorganism nyingine zinavyojenga resistance dhidi ya dawa, na kwa nini tunahitaji dawa mpya, kwa nini zamani magonjwa kama gono yalikuwa yanatibiwa na tetracycline lakini siku hizi kuna gononsugu halisikii dawa.
Vidudu vya gono vimefanya evolution.
Life span ya Sokwe (Apes) inafahamika..!1: Unajuaje kama hawafiki miaka milion kutokana na mabadiliko ya kalenda kurudisha miaka nyuma?
Sure!2: Kwa hiyo sisi binadamu ni manyani waliobadilika miaka mingi iliopita zamani ?
Mkuu,We jamaa uko vizuri sana,hii ndio jf ya kipindi kile sasa