Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Mutation ni sehemu ya evolution. Ni agent ya evolution.

Random mutations huwa zinatokea kila kizazi.

Sasa, ikitokea random mutation fulani inatokea na kuipa species fulani feature fulani inayoipa specie advantage fulani, hiyo feature itaendelea kuwa dominant, dominance hiyo itapelekea vizazi vijavyo visivyo na hiyo mutation/feature kuwa vichache na hata kutoweka, na vilivyo na hiyo mutation/feature kuwa vingi, hatimaye hiyo mutation/feature inakuja ku dominate, na ikiwa na traits fulani tofauti kubwa, hapo ndipo species ina evolve.

Tukirudi kwenye mfano wetu wa bacteria na resistance. Kwa mfano bacteria wengi wakiwa wanauawa na dawa A, inayoshambulia plasma membrane zao za kawaida, wakatokea bacteria wengine wana mutation fulani kwenye DNA inayofanya plasma membrane zao kuwa ni nene zaidi, dawa haiwaiingii, hawa wachache hawatakufa kwa dawa, wataendelea kuzaana na kutawala kizazi kijacho, kizazi kinachofuata kitakuwa na hawa wenye mutation ya membrane nene wengi, hivyo, mutation hii itafanya wanaobakia kwenye species hii ya bacteria kuendelea kuwa ni wale wenye plasma membrane nene.

Hapo mutation ya wachache kuwa na plasma membrane nene imewapa advantage iliyofanya specie nzima i evolve kuwa ya wenye plasma membrane nene.

Mutation ni agent kubwa inayosababisha evolution.

Hapa Umeongea Point kubwa Sana..
Na Ninaweza Kuthibitisha kwa Hilo wala sina Shaka..

Maana Cha kwanza Huanza Mutation baadae Inafuata Evolution then kutokna na mazingira Mutants Organism wanakuwa Dorminants na wale wasio mutants pia wanakuwa Pamoja..

Bhasi kama Mutation ni agents ya evolution still Evolution inafanyika sana..
The HIV traits ya mwaka 1980s ni tofauti na Traits ya Sasa hivi vivo hivyo bacteria na hata Binadamu wa Sasa Ni tifauti kabisa..
Mutation Imetake Plce sana kwa Ukubwa sana
 
Picha linaanza swali la kichwa cha thread linaanza na "Kama nyani alibadilika akawa binadamu..."

Mpaka hapo tu big fail.
Kwani mwalimu wako wa history alikufundishaje mkuu kuhusu uwepo wa binadamu ?
 
Hapa Umeongea Point kubwa Sana..
Na Ninaweza Kuthibitisha kwa Hilo wala sina Shaka..

Maana Cha kwanza Huanza Mutation baadae Inafuata Evolution then kutokna na mazingira Mutants Organism wanakuwa Dorminants na wale wasio mutants pia wanakuwa Pamoja..

Bhasi kama Mutation ni agents ya evolution still Evolution inafanyika sana..
The HIV traits ya mwaka 1980s ni tofauti na Traits ya Sasa hivi vivo hivyo bacteria na hata Binadamu wa Sasa Ni tifauti kabisa..
Mutation Imetake Plce sana kwa Ukubwa sana

Kama tutaweka sababu za kimazingira, je, miaka mingi ijayo sisi binadamu wa sasa tutabadilika na kua binadamu wa aina gani na kama hatutobadilika kua viumbe wapya je ni kwanini?
 
Kwanini wameamua kuturudisha nyuma ki miaka na je, ile miaka laki tatu ya modern human imeenda wapi kama ni hivyo kwa kuzingatia kigezo cha evolution of human being?
Kalenda unayotumia leo sio yenyewe peke yake inayotumiwa, sio ya kwanza, wala sio ya mwisho probably miaka 59,000 ijayo kutakuwepo kalenda nyingine bora zaidi ya hii.

Watu wa mwanzo kabisa hawakuwa na maandishi, hawakuumba herufi wala kutunga namba. Namba zilipotungwa, herufi zikawepo na kalenda kadhaa zikatengenezwa. Majira yakasomwa na kadri muda unavyoenda wakajua makosa ya kusoma majira ya zile kalenda wakaunda nyinginezo. Baada ya muda usafiri kuimalika watu wakawa wanazunguka pande mbalimbali za dunia wakalazimika kuwa na kalenda moja ili kutochanganya matukio.
 
Tukijaribu tu kupiga picha tulikotoka ni karibu kuliko tuendapo,Iko siku pengine labda tutaota mabawa
 
Hapa Umeongea Point kubwa Sana..
Na Ninaweza Kuthibitisha kwa Hilo wala sina Shaka..

Maana Cha kwanza Huanza Mutation baadae Inafuata Evolution then kutokna na mazingira Mutants Organism wanakuwa Dorminants na wale wasio mutants pia wanakuwa Pamoja..

Bhasi kama Mutation ni agents ya evolution still Evolution inafanyika sana..
The HIV traits ya mwaka 1980s ni tofauti na Traits ya Sasa hivi vivo hivyo bacteria na hata Binadamu wa Sasa Ni tifauti kabisa..
Mutation Imetake Plce sana kwa Ukubwa sana
Naam.

Ukitaka kuelewa evolution vizuri angalia microorganism. Mfano ni anti bacterial resistanve.

Tatizo watu wanataka wamuangalie nyani ndani ya miaka 10 ageuke kuwa mtu 😂😂😂
 
Kwani mwalimu wako wa history alikufundishaje mkuu kuhusu uwepo wa binadamu ?
Mimi mwenyewe mwalimu, na mwalimu wangi wa history tayari ni history na yeye.

Kwa nini unauliza nilichofundishwa na mwalimu wangu wa history wakati kuna mabadiliko mengi sana ya kiteknolojia yanayotupa elimu kubwa sana kushinda aliyotoa huyo mwalimu wa history?

Tumesoma history miaka ya tisini, kwa kutumia vitabu vya miaka ya sabini na sitini.

Enzi hizo hakuna Google, hakuna Youtube, hakuna ChatGPT, hakuna electronic books, hakuna internet bwerere kama sasa.

Bado unataka kurudi alipoishia mwalimu wangu wa history huko?
 
Kama tutaweka sababu za kimazingira, je, miaka mingi ijayo sisi binadamu wa sasa tutabadilika na kua binadamu wa aina gani na kama hatutobadilika kua viumbe wapya je ni kwanini?
Binadamu wa Miaka 50 Iliyopita Ni tofauti sana na Binadamu wa Miaka ya sasa Kwanza unakubaliana na Mimi Kuwa Our cells Ina undegoes Mutation kila siku na Mutation Hubring into Another Organism with Differents Character..

Unajua Kuwa Hata Ndizi haukuwahi kuumbwa na Mungu? Unajua Kuwa Hata Ngombe anayefugwa alikuwa Ni familia ya Ngombe Pori Ila miaka ya Karibuni ndo amebadilishwa kwa Kupandikizwa??
 
Naam.

Ukitaka kuelewa evolution vizuri angalia microorganism. Mfano ni anti bacterial resistanve.

Tatizo watu wanataka wamuangalie nyani ndani ya miaka 10 ageuke kuwa mtu 😂😂😂
Ukitumia Micro Organism..Kama Bacteria , Virus na Wadudu wemgine Hii concepts Inaingia Vizuri sana..

Unajua Mimi mwenyewe Nilikuwa natumia Concepts Zingine ila Ulipotaja Tu Mutation Akili ikafunguka Nikakumbuka Jinsi mutation inavyofanyika Kwa Binadamu na Hata kwa Microorganism..
Kazi ya mRNA kwenye Mutation DNA changes na Kila kitu nikapata Jibu la Haraka sana
 
Wewe unaweza kuelewa kirahisi kwa kujua mambo kama hayo ya mRNA , mutation, DNA changes etc.

Kuna watu hawajui lolote kuhusu hayo mambo hawajui hata mutation ni nini.

Hapo ndo kimbembe kwanza uanze kufundisha mutation kwa Kiswahili.
 
Hizi mambo za evolution theory ziondolewe kwenye mitaala ni upumbavu sana
 
Back
Top Bottom