Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.

Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
Sasa Kama ulikuwa hujaukamilisha uchunguzi wako ya nini kutuletea habari ambayo hata wewe mwenyewe huna uhakika nayo?

Kwa taarifa yako hata Iramba kuna akina Makala pia , angalia usijekimbia uzi wako mwenyewe.
 
Usiku wa deni haukawii kucha, weka ushahidi mkuu
Usisahau pia kashfa kubwa sana katika mfumo wetu wa elimu ni ile ya watu waliotolewa makazini kwa kufoji vyetu. Lakini kashfa kubwa zaidi ni baada ya watu hawa kurudishwa kazini na wengine kulipwa mafao!!
 
Back
Top Bottom