Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

Hakufoji,Bali alitumia jina la mtu aliyeacha shule yeye akarudia msingi,maana kipindi chake kurudia haikuruhusiwa
Sio kurudia bali hawa walikuwa wananunua nafasi za wanafunzi waliofaulu darasa la saba na wazazi wao hawana muamko na elimu au uwezo wa kuwasomesha.
Kumbuka enzi hizo shule ni chache mtu anafaulu anatakiwa aende bweni mkoa mwingine.
 
Siyo lazima awe aliyefaulu,hata aliyeacha shule msingi,linatumika lile jina kurudia,mfano kigwangala japo Kuna case nyingi usukumani za kununua vyeti o level
 
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.

Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
Makalla ni SIngida ni janja janja sn huyu mtu
 
Lowasa si masai kumbe,ni kabila gani ?

Sio MMASAI ni mmeru
Wamasai watachukua back jimbo lao 2025 kwa Joseph Sokoine kushinda easily.

Fred Lowassa anajua hilo na anaombea Joseoh asigombee kwa sababu ya umri mkubwa wa miaka 60+
 
Huyo hana kiherehere mwache apige kazi hatakama kanunuaga vyeti still anaakili zakutosha sisi ugomvi ni kwa madikteta uchwara....
 
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.

Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
CCM bwana,sijui wakoje.
 
Hapo umechemka ndugu yangu. Huyo Amos Makala ndio mwenyewe halisi labda kama kufoji awe amefoji shule ya msingi lakini sekondari ni yeye mwenyewe ndio alisoma sec fulani iliyopo willayani Kibaha kuna mpwangu walisoma wote nina ushahudi waliwahi kuja kunitembelea kwangu akiwa na huyo mpwangu wakati wanasoma. Sijui kama mwenyewe atakumbuka maana ni muda mrefu mno.
 
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.
Politics za nchii hii huwa zinafurahisaha sana, pamoja na kelele zote kuhusu hii kashfa hakuna mtu aliyeenda mahamani kufungua kesi kuhusu hili, sijui iliishia wapi.
 
Makalla ni jina la kinyiramba,elimu yake ya msingi aliipata shule ya msingi kitongo wilayani nzega,nzega wanyiramba wengi tu
Kabisa🙌
Nzega na Igunga kuna Wanyiramba Wengi Sana!!
 
Back
Top Bottom