Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.

Nawapa assignment Kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wa Sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
wewe weka wazi huyu namfahamu kasoma kitongo primary school kitongo kwa jina hilohilo,acha uongo
 
Hii wala kashifa kwa hapa Tanzania.
*Waziri wa fedha anatumia jina la mtu.
*Lukuvi amekaa serikalini mpk amezeeka lkn hana cheti.
*Mary Nagu anaitwa Dr...lkn hakuna kumbukumbu mahala popote aliposoma PhD
*Alikuwepo mganga wa kienyeji ambaye hajawahi kukanyaga shule lkn alijiita profesa.
Mukuma hana cheti hata cha shule ya msingi lkn anaitwa Dr.

Suala hili halijaanza leo na kwa Tanzania Wala siyo kashifa. Kuna mtanzania alikuwa anaitwa Msemakweli, aliandika mpk kitabu akiwatuhumu Lukuvi na Nagu. Baadaye akaja Ben Sa8 akahoji PhD ya Magufuli.
mukuma ndio nani?
 
Vyeti feki original tuanzie kwa Jiwe, yaani a fake PhD kakaa nayo hadi anaukwaa uraisi wa nchi? TZ imejaza mavyeti feki wengi, hao viongozi wa umma wakichimbwa kisawasawa itakuwa ni aibu yaani mawaziri, wakuu wa mikoa/wilaya na maeneo mengine mbalimbali. Huu mtindo wa kutumia vyeti na majina ya watu uko mpaka polisi na jeshini.
Hebu mwageni hadharani hao watu walivyopenya hadi wakatoboa kwa kufoji vyeti.
 
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.

Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
VP kuhusu Madelu
 
Kumekucha noma sana ,weka jina lake original.
 
Back
Top Bottom