komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,173
- 1,654
Nooo Makala ni majina ya kinyirambaYule msanii wa Arusha JCB, Jina lake halisi ni Jacob Makala. Lakin yeye ni msukuma. Huenda ni jina la kibantu. Ila kama vile Kuna Makala zenye Single l na Double l