Hii wala si kashifa kwa hapa Tanzania.
*Waziri wa fedha anatumia jina la mtu.
*Lukuvi amekaa serikalini mpk amezeeka lkn hana cheti.
*Mary Nagu anaitwa Dr...lkn hakuna kumbukumbu mahala popote aliposoma PhD
*Alikuwepo mganga wa kienyeji ambaye hajawahi kukanyaga shule lkn alijiita profesa.
Msukuma hana cheti hata cha shule ya msingi lkn anaitwa Dr.
Suala hili halijaanza leo na kwa Tanzania Wala siyo kashifa. Kuna mtanzania alikuwa anaitwa Msemakweli, aliandika mpk kitabu akiwatuhumu Lukuvi na Nagu. Baadaye akaja Ben Sa8 akahoji PhD ya Magufuli.