Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

Sasa Kama ulikuwa hujaukamilisha uchunguzi wako ya nini kutuletea habari ambayo hata wewe mwenyewe huna uhakika nayo?

Kwa taarifa yako hata Iramba kuna akina Makala pia , angalia usijekimbia uzi wako mwenyewe.
 
Usiku wa deni haukawii kucha, weka ushahidi mkuu
Usisahau pia kashfa kubwa sana katika mfumo wetu wa elimu ni ile ya watu waliotolewa makazini kwa kufoji vyetu. Lakini kashfa kubwa zaidi ni baada ya watu hawa kurudishwa kazini na wengine kulipwa mafao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…