Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

Ina maana qurani inazihusu nchi za kiisilamu tu, na sio waisilamu? Sasa mbona hawa wa bongo wanajipendekeza kuswali, kufunga, kwenda hija nk?
wee **** bongo ninchi yakiislamu? wewe nimuislamu?
 
Indonesia
87% waislam

Megawati Sukarnoputri​

Huyu bibie alikuwa Raisi wao
Aisee shule umeenda kusomea nn kijana

Unajua maana ya Nchi ya kiislamu?
 
Mtoa mada najua lengo lako ni kuleta chokochoko na uchokozi kwa Rais wa Nicaragua .
 
Mkuu! Jikite kwenye mada, huko unakokwenda usijeanza kutokwa povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…