Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

Indonesia
87% waislam

Megawati Sukarnoputri​

Huyu bibie alikuwa Raisi wao
Aisee shule umeenda kusomea nn kijana

Unajua maana ya Nchi ya kiislamu?
 
Mtoa mada najua lengo lako ni kuleta chokochoko na uchokozi kwa Rais wa Nicaragua .
 
Kuna waislamu na waumini .Unaitwa Juma hussein lakin 24 hrs upo merridian bet , unacheki mipira ,unasikiliza nyimbo ,unazini ,una kunywa pombe basi uyo ni muislam .kuna Waumini (wenye Imani ) humuogopa mwenyezimungu na kufanya matendo mazuri na kumfurahisha muumba wa ardhi na mbingu sio yesu maana yesu akuumba Ardhi na mbingu
Mkuu! Jikite kwenye mada, huko unakokwenda usijeanza kutokwa povu.
 
Back
Top Bottom