Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango


..sema Tanganyika.
 
We mwanasiasa gani ambaye haujui kuwa waziri mkuu ndio Jembe la raisi kuliko makamu wake?

Maana yangu ni kwamba kiutendaji waziri mkuu ni mtu muhimu Kwa raisi kuliko makamu wa raisi
 
Mmmh Kumeanza kuchangamka...🤔🤔
 
Lowasa tena huko gorofani kukosawa?, Hata kama unaunganisha dots
 
Kuna vigezo kuwa mzanzibar, ndo maana hakuna mtanganyika yeyote kwenye serikali anayoiongoza huyo unaesema ni wa mkuranga.
Nenda sasa tanganyika, hadi wafagizi wa ofisi wapemba wapo.
Hakuna vigezo vyovyote, ni connection tu.

Baba yake alitumia vigezo gani zaidi ya kuhifadhi juzuu mbili tatu kichwani na elim dunia kidogo ya kuzugia, kisha kapewa uraisi bila kuwa na ndugu hata mmoja huko Zanzibar.
 
Huo ndio utaratibu wa chama cha mapinduzi waliojiwekea.
 
Naona taratibu mnaanza kupata akili. Kwa kifupi Sa 100 nafasi ya U Rais inapaswa kuishia awamu ya kwanza.

Hii awamu anayotaka kuiendea sasa na bado akapewa nafasi basi inatosha kabisa kudhihirisha umbumbu ulio kwenye Chama chake cha CCM na wote wanaomuunga mkono.

Watanganyika haswa wa Chama cha CCM kwa sababu ya ujinga na njaa zao binafsi bado wanamtaka sa100 aendelee kuwa Rais. This is insane!

She already proved that She can't fit in presidential post
 
Watanganyika waelimishwe jinsi rasilimali zao zinavyotapanywa bila kuwanufaisha, naamini somo likiwaingia hata ccm wenyewe wataukataa huu ukoloni.

Bila shaka ubovu wa muungano itakuwa moja ya ajenda muhimu chini ya uongozi wa Lissu.
 
Kuna vigezo kuwa mzanzibar, ndo maana hakuna mtanganyika yeyote kwenye serikali anayoiongoza huyo unaesema ni wa mkuranga.
Nenda sasa tanganyika, hadi wafagizi wa ofisi wapemba wapo.
Huu ujinga ambao utawala huu umefanya hadi kutuletea wapemba hapa Tanganyika kuchukua nafasi za watanganyika utakuja kuleta machafuko na lawama zote zitamrudia Sa100.
 

Sijakuelewa kabisa...

Hapa unalalamikia kitu gani hasa..?

1. Katiba ya CCM kusiginwa huku wewe mwenyewe ukiwa mshiriki wa kuisiginwa kwa katiba yenu huko Dodoma (maana hukupinga mlemle ndani ya ukumbi) kwa kutamka kuwa: Jamani eeeh, huu sio utaratibu...? AU

2. Unalalamikia utaratibu wa kikatiba kutofuatwa kulikpelekea kutoteuliwa kwa mtu wako (Kassim Majaliwa) kuwa mgombea mwenza wa u - Rais Ndugu Emmanuel Nchmbi...?

3. Na Je, angeteuliwa mtu wako huyu huku unakodai kuvunjwa kwa katiba yenu ya CCM kwa sababu tu Nchimbi ndiye kateuliwa inagekuwa halali tu kwako, au siyo..?

Kama hilo #3 ni sahihi kwako, tutakosea kukuita na kukuona wewe kuwa mnafiki na Kalumekenge tu usiyefaa kwa ugali wala kwa mchuzi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…