Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Waziri mkuu, Kasim Majaliwa kawekewa naibu waziri mkuu, cheo ambacho kikatiba hakipo. Ni ishara ya wazi Samia hataki kufanya kazi na Majaliwa.
 
sasa kama ulikuwa mmoja wa wahusika waliompigia kura 99.9% halafu unakuja huku kutueleza kuwa hafai wewe ni mpiga majungu tu, ungenyoosha kidole na kutoa maoni yako ndani ya mkutano ungesikilizwa na huenda ungejijengea heshima.
Kwa ujumla mkutano ule ni mkutano wa kwanza tangu uhuru ulioonyesha ujinga wa hali ya juu na weakness
 
Ukweli kabisa watanganyika ni wapumbavu sana. Zanzibar hakuna upumbavu kama huo. Eti mtu atoke chamwino akawe mkuu wa wilaya pemba!
Sasa toa solution siyo kulalamika tuu
haikuwahi kutokea MA DED, MA RAS wateuliwe toka znz, na pia serikali za mitaa syo ya muungano.
ila huyu bibi amewajaza huku bara na sisi tuko kama manyumbu kimyaaa
 
Makamu wakati wa kikwete alikuwa dini gani ili huu upotoshaji wako usudumu muda mrefu humu?
Na wewe unaongea kama umekatwa kichwa! Sasa Zanzibar ungempata wapi Mkristo wa kuwa Makamu wa Rais? Lakini uliiona kampeni ilivyouwa ngumu kwa Kikwete awamu ya pili? Sasa leo bara kumejaa Wakristo uje uteue mgombea mwenza Muislim? Mtalia kilio cha mbwa mwizi!
 
Kwa hiyo wakati wa mkutano ulikuwa umesinzia?
 
Ukweli kabisa watanganyika ni wapumbavu sana. Zanzibar hakuna upumbavu kama huo. Eti mtu atoke chamwino akawe mkuu wa wilaya pemba!
Sasa toa solution siyo kulalamika tuu
Mkuu taratibu, kwani aliyepo Ikulu Zanzibar ni Mzanzibari??

Mbona kwenye ule mkutano hoja ya kushindanisha wagombea wengi wa urais na mwenza wake ililetwa na Mwasi yule binti, kwa nini watanganyika mule ndani hawakuiunga mkono??

Kwani watanganyika mlishikiwa fimbo?? Hata hivyo bado muda upo, jipangeni kama wanamtandao wa kipindi cha uteuzi wa Kikwete 2005.

Mkuu uoga wenu wanaccm ndio maumivu yenu. Sie tusio na chama, yetu macho!!
 
We mwanasiasa gani ambaye haujui kuwa waziri mkuu ndio Jembe la raisi kuliko makamu wake?

Maana yangu ni kwamba kiutendaji waziri mkuu ni mtu muhimu Kwa raisi kuliko makamu wa raisi
Hata mimi naona kumwondoa pm na kuwa makamu nikumdhoofisha bora abakie hapo hapo kuwa pm.Mjaliwa ni mtendaji mzuri sana.
 
Huko juu ni kugumu, wapo wanaotamani hata kukaa jobless
 
Wewe unatumia katiba ipi? Au ni hisia tu?
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wata
Ukweli kabisa watanganyika ni wapumbavu sana. Zanzibar hakuna upumbavu kama huo. Eti mtu atoke chamwino akawe mkuu wa wilaya pemba!
Sasa toa solution siyo kulalamika tuu
nganyikavsio wapumbavu. Ni woga wa kupotezwa wakihoji mambo kuhusu uharibifu unaofanywa na serikali.
 
Ukiacha hayo macho yako yanavyoona. Ngoja nikupe jicho la tatu. Rais akiwa muislamu bakwata makamu anakuwa mkristo mkatoliki. Na Rais akiwa mkristo mkatoliki makamu anakuwa muislamu bakwata. Hutaki ckulazimishi
Hata ukiachilia mbali tu huo utamaduni, je ni Lazima Majaliwa aendelee na nafasi za.juu? Hakuna Watanzania wengine wanaostahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…