Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Hata mimi naona kumwondoa pm na kuwa makamu nikumdhoofisha bora abakie hapo hapo kuwa pm.Mjaliwa ni mtendaji mzuri sana.
Tatizo vijana wengi hawajui umuhimu wa PM. Makamu wa Rais ni msaidizi tu wa Rais, kazi yake kuu ni kutumwa na Rais. PM ni Mratibu wa shughuli za serikali. Mawaziri wanaripoti kwa PM. Siyo Makamu wa Rais
 
Ukiacha hayo macho yako yanavyoona. Ngoja nikupe jicho la tatu. Rais akiwa muislamu bakwata makamu anakuwa mkristo mkatoliki. Na Rais akiwa mkristo mkatoliki makamu anakuwa muislamu bakwata. Hutaki ckulazimishi
Mbona rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete alifanya kazi na makamu wa rais waislamu Dr Ali Mohammed SheIn na Dr Mohamed Ghalib Bilali ?!
 
..kuna viumbe ni hadi damu itoke masikioni!!
Viumbe wenyewe wanaitwa wa Tanganyika..
 
uko sahihi, ni hao hao wanaolalamika sasa kuhusu Majaliwa ndiyo watakuja kupiga kelele za ubaguzi wa kidini.

Hata hivyo Majaliwa ameshatumikia Taifa hili katika nafasi tatu kubwa kwa miaka 10, apumzike tena apishe wenzake.
 
Isingewezekana PM kuteuliwa kama mgombea mwenza.
Aliyehitajika alipaswa akidhi vigezo hivi;
*Awe ni mkristo
*Awe ni mtanganyika
*Awe ni Mwanaume
PM anakosa sifa moja
MUHIMU sana.
 

Kwa hiyo unalazimisha Majaliwa awe Makamu? Si ni utashi wa Rais? Mbona hata wewe huamini katika democrasia na Katiba yenu?
 
Huo ni upuuzi ndani ya CCM,wekeaneni sumu kabisa mmalizane maana nyie ndio mmeifikisha hii nchi hapa.
 
Punguani mkubwa, umewahi ona nani hapa Tanzania ambae amewahi kuwa Waziri Mkuu Kisha akawa Rais au Makamu wa Rais ukiacha Nyerere?

Huyo Godfather wako ndio pekee ana uwezo? Mwambie ajiuzulu uone kama Nchi Itasimama.

Mwisho hakuna mahala Wazanzibar waliwahi walazimisha Watanganyika ni nyie mnajipendekeza.

Mwisho Kizimkazi ni Burundi ila Chato ni Tanzania au siyo? 🤣🤣
 
Ukweli kabisa watanganyika ni wapumbavu sana. Zanzibar hakuna upumbavu kama huo. Eti mtu atoke chamwino akawe mkuu wa wilaya pemba!
Sasa toa solution siyo kulalamika tuu
Wazanzibar waliwahi waomba muwaunganishe kwenye muungano? Unapoenda kuposa na Kuoa si Huwa unakubali masharti? Rudisha Mke Sasa badala ya kujiuliza kama kifaranga.
 
Ushaidi
Ukiacha hayo macho yako yanavyoona. Ngoja nikupe jicho la tatu. Rais akiwa muislamu bakwata makamu anakuwa mkristo mkatoliki. Na Rais akiwa mkristo mkatoliki makamu anakuwa muislamu bakwata. Hutaki ckulazimishi
 
We mwanasiasa gani ambaye haujui kuwa waziri mkuu ndio Jembe la raisi kuliko makamu wake?

Maana yangu ni kwamba kiutendaji waziri mkuu ni mtu muhimu Kwa raisi kuliko makamu wa raisi
Takataka hiyo,yeye alitaka eti Rais amteue PM kuwa VC.

Asivyo na akili hajui kwamba ukisema mtu achague kati ya kuwa PM au VC atachagua kuwa PM.
 
Huu ujinga ambao utawala huu umefanya hadi kutuletea wapemba hapa Tanganyika kuchukua nafasi za watanganyika utakuja kuleta machafuko na lawama zote zitamrudia Sa100.
Ni mwaka gani Wapemba hawakuwahi chukua nafasi Tanganyika? Na hao waliochukua nafasi ni kina nani Kwa Majina?
 
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 3
  • IMG_4035.JPG
    35.5 KB · Views: 2
Basi kama hamtaki Majaliwa kwa sababu zake binafsi, amuombe ajiuzuru kama alivyofanya kwa Mpango. Isiwe shida bhana, tumechoshwa na ubaguzi wao.
Ukiachana na katiba kuna busara pia inatumika katika kuiongoza hii nchi.

Kama rais atatoka Zanzibar na ni muislamu basi tegemea makamu wake kutoka bara kuwa mkristo, hili ndilo tumelizoea na linaleta utulivu na kuondoa minong'ono ya ubaguzi.

Majaliwa ni jembe Sana lakini hatakuwa na bahati kwani tulishazoeshwa hii hali.

Hata urais utampitia mbali na anatakiwa akubali tu hakuna namna kwani baada ya mama tunamtarajia mkatoriki.

Huu mwenendo tunauzoea ingawa hauko kwenye katiba na madhara yake ni kuwakosa watu kama kina majaliwa kwenye uongozi wa nchi.
 
Nchimbi sio mtu msafi hata kidogo!
Wajumbe wa ule mkutano mkuu kila mtu alilipwa Tsh 2,600,000
Ukigawanya kiasi hicho Kwa miaka 5 umya saa100, hadi 2030, na Miaka ya Nchimbi kuwa Rais 2030-2040. Ni miaka 15 Jumla.


Ufafanuzi wa malipo Kwa Kila mjumbe kwa kuuza nchi kwa miaka 15.
Tsh 2,600,000/15 miaka = Tsh 173,000 Kila mwaka mjumbe amelipwa.

173,000/180 miezi ( SAWA na miaka 15) = Tsh 962 Kwa Kila mwezi kwa miaka 15

Tsh 962/ 30 kwa siku= Tsh 32 kwa siku Kwa miaka 15 Kwa Kila mjumbe
 
Wewe ni mnafiki, kwanini hukayaongea pale kwenye mkutano, mpaka unakuja jf ,ccm mna unafiki sana hizi nondo zako ulitakiwa kuzipga kwenye mkutono wenu wa hajabu wahi tokea katika uso wa dunia ,uliogopa nini , kifo kipo mkuu , sasa waja na kamdomo hapa jf ,wakati unasema ulikuepo kwenye mkutano , pumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…