Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Bongo muvi
Msitufanye kama hamnazo
Kwani si mwanamke kama wengine
cha ajabu nini?
Waafrika huwa tunatumia nini kufikiri
Huku kusifu na kuabudu kutakoma lini?
Mnakera mnachosha mnaudhi
Msitufanye kama hamnazo
Kwani si mwanamke kama wengine
cha ajabu nini?
Waafrika huwa tunatumia nini kufikiri
Huku kusifu na kuabudu kutakoma lini?
Mnakera mnachosha mnaudhi
Anapenda sana jikoni mama wa watu.Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
Hizo ni show-off jombaaa! Kaandaliwa kila kitu anaitwa kupigwa picha! Unajua taaabu za maaandalizi na kupika weweee?Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
Ishu ipo TBC1 hiyo Jumapili asubuhi, anaigiza tuWewe unadhani mama hujui kupika au hapiki ?
Nimelia kwa furaha sana ,nani kama mamaaIla CCM Kwa drama hawajamboo...
Kwa hyo hapo Wana CCM wanabubujikwa na machozi ya furaha kisa mama anajua kupikaa🤪🤪
Uwe unapika sio ukirudi home na mikucha yako unawaza kulogin insta, jf & TwitterHeeeeh! Usitupangie maisha bwana, kisa hizo show off ndio utunange na wadada wetu wa kazi!!