Pre GE2025 Kama Rais Samia anaingia jikoni kupika basi hapa kuna la kujifunza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nasema Mamaa Mamaa nani kama Mamaa, machozi ya furaha yananibubuji kweli huyu ndiye Rais tunaemuhitaji, wale wavimba macho waendelee kubweka tu.

Nasema Mamaa Mamaa nani kama Mamaa, machozi ya furaha yananibubuji kweli huyu ndiye Rais tunaemuhitaji, wale wavimba macho waendelee kubweka tu.
 
😄 🤣 😂
Ready, Steady, cook
Ni kipindi kwenye TV
Hivi nyumbani unavaa kofia nyeupe?
Ila sioni ajabu akipika kwa mme wake
Hata Margaret Thatcher alikuwa anapika
Ingawa haya ni maigizo
 
Hapo aliigiza siku Moja na camera ili aonekane Huwa anapika lakini ukweli huyo hapiki.Tanzania ukiwa rais Kila kitu unapewa Bure kuanzia mpishi Hadi mke au mme kama ikitokea mojawapo hajaoa au kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…