Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Hukumbuki ya Munyeti akiwa DC alioenaka akitoa rushwa badala yake wakati jalada lake likiwa Takukuru alizawadiwa u- RC? Hivyo kumshitaki au kumtuhumu sabaya enzi za godfather wake ilikuwa ni sawa na kumpoga chura tekeHizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
hakuna relation ya dpp, na CP wa takukuru na mbowe.Kama aliogopa kusema,mbona hakumuambia Lissu au Ansbert ngurumo walioko ughaibuni.
Huu ni mpango uliosukwa vizuri sana.
Imagine TAKUKURU bossi mzanzibari yule aliekuwa RPC wa Sabaya, halafu DPP ni somebody KWEKA!
Hapo lazima kuna uvundo utakuja kufanya wengi watumbuliwe!
unaweza ukaulizia kwa task force ambayo inafanya ichunguzi wa hii kesi.Hiyo karakana iko wapi?
Kuna mtu ana picha ya hiyo karakana?
Au blah blah tu za huyo mwenyekiti mwenye makengeza?
Nikaulize wapi wakati nyie majasusi uchwara mpo humu?unaweza ukaulizia kwa task force ambayo inafanya ichunguzi wa hii kesi.
wamo polisi,takukuru, wamo TRA.
ukiuliza hapa JF hutopata jibu lolote.
Nani anamlilia Sabaya. Pimbi mkubwa hayawani usie na akili.Jibu swali langu kwanza badala ya kukimbilia kujificha kwenye kichaka cha matusi!
Sabaya ni nani wako? Haiwezekani umlilie kila siku humu jukwaani! Tena ukiwa umebana pua "Sabayaaa! Sabayaaaa"
Eh?Muda wa kulipa udhalimu? Hehehee...
Hauwajui CCM wewe, wanacheza na akili zenu tu.
Ona hii ya Mwangosi..View attachment 1812713
Weka uthibitisho, wacha blah blah wewe askofu uchwara!Hata ibilisi hakosi wafuasi ,yaani jitu linaanzisha thread kabisaaa kumtete a Jambazi ,mbakaji ,mtu alitumia madaraka yake vibaya , kichaa , mwendawazimu ?
Mkuu hakuna mtu nayemtetea mtu. Bali tunataka kupata ukweli juu ya jambo la kitaifa.Hata ibilisi hakosi wafuasi ,yaani jitu linaanzisha thread kabisaaa kumtete a Jambazi ,mbakaji ,mtu alitumia madaraka yake vibaya , kichaa , mwendawazimu ?
So, what?Saambaya anakula maharage kwenye ile nyumba karibu na airport
Mkuu wale ambao walisemekana kuwa wasiojulikana, sasa ndio wanaanza kujulikana sambamba na matendo yao maovu. Wengi waliteswa, kutiwa ukilema wa maisha na wengine hata kuuwawa kwa madai ya amri kutoka juu.Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Unatafuta kitu gani?Pumbavu
Justice must be seenMkuu wale ambao walisemekana kuwa wasiojulikana, sasa ndio wanaanza kujulikana sambamba na matendo yao maovu. Wengi waliteswa, kutiwa ukilema wa maisha na wengine hata kuuwawa kwa madai ya amri kutoka juu...
Ina maana we changu umesahau kuwa hata Siku ya kupiga kura mbowe ka mgombea ubunge hakuweza kujipigia kura kwa sababu alikoswakoswa kutekwa na hiyo umbwa ya ccm.Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Mi sijui kwanini wajuba mpaka SAA hii ajatobolewa ugali.Saambaya anakula maharage kwenye ile nyumba karibu na airport
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Mataga pori uwe unafanya tafiti japo kidogo kabla hujakurupuka.Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Tulia sindano ikuingie vizuri.Kama aliogopa kusema,mbona hakumuambia Lissu au Ansbert ngurumo walioko ughaibuni.
Huu ni mpango uliosukwa vizuri sana.
Imagine TAKUKURU bossi mzanzibari yule aliekuwa RPC wa Sabaya, halafu DPP ni somebody KWEKA!
Hapo lazima kuna uvundo utakuja kufanya wengi watumbuliwe!