Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Bado unatetea ushenzi wa Magufuli basi na wewe utaangamia kama huyo boss wako.
 
Well said
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Kwani mnawaza vipi wandugu! Kwani wakati huo alishakuwa mtuhumiwa au walau kufikiriwa kwamba atakuja mshitakiwa? Kwa nini anaeweza kusema sasa anaonekana ni mnafiki hali ya kwamba hata muda huo hakukamatwa?
 
Katika nyakati zile za IDD AMINI je? ni nani aliweza kunyoosha bakuli lake la usoni na KUONGEA?....
 
Hivi shida ni speach ya Mbowe au matendo ya Sabaya? Kuna hata mtu mmoja humu anaweza kuandika kwa ujasiri kabisa huku na Mungu akiwa anamuona kwamba hakujua UKATIRI wa Sabaya before hili la TAKUKURU!? Hebu tusiwe wanafiki, mambo ya Sabaya yanajulikana hadi huko vijijini kabisa, unless umenunua juzi smart phone
 
mfalme herode alimpa kibuli sana yule bwana mdogo
 
Mbowe alipiga kelele vibaya sana mpaka anazuiliwa kufanya mikutano hai hukwepo?
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Je ni kazi ya Mbowe kusema kila jambo au ni kazi ya vyombo vya dola kung'amua? by the way hilo jumba ama karakana kama unavyoita wewe yeye aliliita GOLGOTA kama ulikuwa hujui...
 
Acha unaafiki baasi!kipindi hicho kulikua na mwanaume wa kuongea au ndo sifa tu...muda wa kulipa udhalimu huu
Kama mligeuzwa na wanawake wakati huu na mkanyamaza si muendelee kunyamaza milele
 
na atashinda kesi tu na wanaompakazia kesi za kubumba wataaibika pole kamanda
 
Justice must be seen
Unataka justice ya aina gani wewe kiazi mviringo cha Njombe! Kitendo cha huyo Sabaya tu kufikishwa mahakamani, ni kitendo cha haki!

Mahakama ndiyo itakayo amua iwapo ana hatia, au la! Kulialia humu haitasaidia chochote! Na kama wewe na wenzako hamkubaliani na jambo hilo, basi nendeni mkanyee naye ndoo huko jela aliko.
 
Kwani mbowe ndie alikuwa boardguard wa Sabaya?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nyie watu wa lumumba mna shida sana! Kwahiyo unataka kusema ni uongo? Mbona magufuli hajawahi sema kuna upigaji serikalini ulipokuwa waziri? Nyumba za umma ziliuzwa na yeye akamuuzia hawala yake kabula wa kebys ambaye hakuwa mtumishi wa umma mbona hajawahi kusema popote?
Magufuli aliwahi kusema kuhusu vyeti feki alipokuwa waziri?
Aliwahi kusema kuhusu korosho?
Aliwahi kusema kuhusu Richmond?
Mbona yote alikuja kusema alikuja kiwa raisi na alishangiliwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…