Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Tofuatisha mahakama kutenda haki na mtu kufikishwa mahakamani. Umepata jibu nani anatakiwa kutumia akili ya kuzaliwa.
Halafu wewe kausha, humjui Sabaya, humjui hata robo. Yawezekana umemjua akiwa DC ama viyUV ccm huko bila kujua background yake ndio maana unaweweseka, acha kupoteza muda. Kama unaona vingine milango iko wazi kamtetee mtafutie wakili bora na katoe ushahidi umtetee.

Kwanza so far hajawa accounted na kosa la Hai labda yafuate, hiyo anachezea ya Arusha na Moshi Friday yanafuata, na wa Hai kama yapo watakwenda pahala husika

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 


Nenda mahakamani hatuna muda wa kuongelewa watoto wa kihuni hapa tunataka kuenedeleza nchi
 
Pigeni kelele weee lakini jambazi Sabaya anafokolewa huko Kisongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…