Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Hata vidudu sijaifika halafu kusoma hawajifunzi darasa la kwanza. Unakwama sanaRudi darasa la kwanza ukajifunze kusoma.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata vidudu sijaifika halafu kusoma hawajifunzi darasa la kwanza. Unakwama sanaRudi darasa la kwanza ukajifunze kusoma.
Halafu wewe kausha, humjui Sabaya, humjui hata robo. Yawezekana umemjua akiwa DC ama viyUV ccm huko bila kujua background yake ndio maana unaweweseka, acha kupoteza muda. Kama unaona vingine milango iko wazi kamtetee mtafutie wakili bora na katoe ushahidi umtetee.Tofuatisha mahakama kutenda haki na mtu kufikishwa mahakamani. Umepata jibu nani anatakiwa kutumia akili ya kuzaliwa.
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.
Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.
My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
Pigeni kelele weee lakini jambazi Sabaya anafokolewa huko KisongoHizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.
Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.
My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
Pigeni kelele weee lakini jambazi Sabaya anafokolewa huko Kisongo
Unajamba au unaharisha?Pigeni kelele weee lakini jambazi Sabaya anafokolewa huko Kisongo