Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Tofuatisha mahakama kutenda haki na mtu kufikishwa mahakamani. Umepata jibu nani anatakiwa kutumia akili ya kuzaliwa.
Halafu wewe kausha, humjui Sabaya, humjui hata robo. Yawezekana umemjua akiwa DC ama viyUV ccm huko bila kujua background yake ndio maana unaweweseka, acha kupoteza muda. Kama unaona vingine milango iko wazi kamtetee mtafutie wakili bora na katoe ushahidi umtetee.

Kwanza so far hajawa accounted na kosa la Hai labda yafuate, hiyo anachezea ya Arusha na Moshi Friday yanafuata, na wa Hai kama yapo watakwenda pahala husika

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.

Nenda mahakamani hatuna muda wa kuongelewa watoto wa kihuni hapa tunataka kuenedeleza nchi
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
Pigeni kelele weee lakini jambazi Sabaya anafokolewa huko Kisongo
 
Back
Top Bottom