Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Tena usiombe kiboko kile kiwe kimekuja wakati yupo mtu alienda mbele za Mungu kumahukuru kwa mabaya wanayoyapa badala ya kulalamika hapo Mungu huwa anashuka kuadhibu mwenyeweAsee Wana wa ufalme wamekutwa na dhahma wakiwa katika tamasha la MUZIKI la kidunia!!
Mungu wakati mwingine huturudisha njia kuu Kwa viboko hatari!!
Mikataba ya kaleWanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.
Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.
Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.
Jumapili Njema
Paskali.
Mikataba ya shetani na mwanadamu!Wanabodi

Nyerere aliikabidhii hii nchi kwa Vatican.....kila marefu ya ncha Kuna siku ataibuka tu mkristo kukalia kile kiti asiye mkatoliki.Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.
Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.
Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.
Jumapili Njema
Paskali.
Aisee huu ni uchochezi na kutugawa wakristoWanabodi

Siasa hizi!View attachment 2776066Nikikumbuka hii siku huwa nahisi na kudhani kuna kusudi lipo kwa huyu ndugu, tuombe uzima na kusubiria wakati.
Itakuwa wale Jesuits walishafanya yao!Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?,
Very strategic.Ndugu zake wote ndo waanglikana peke ake ndo mkatoliki...
Ni kama enzi za Lawrence Gama... ndugu zake wote walikua waislam peke yake ndo alikua mkatoliki! Hivi vitu hupangwa!
Dotto James Biteko, Ukatoliki unawakilisha nguvu ya Roma ambayo ndio nguvu ya Ulaya Magharibi. Ni ukoloni unaojificha nyuma ya dini ya kiongozi wa nchi.Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.
Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.
Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.
Jumapili Njema
Paskali.
Kimsingi uko sawa. Nakumbusha swala la muda. Wewe kama mwandishi naamini hujasahau. Kule mukiwa wenyewe huwa mnasema "meeting the deadline" Hili hujaliweka. Sasa na sisi tupige ramli?Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.
Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.
Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.
Jumapili Njema
Paskali.
JAL 123 unamaanisha nini mkuuJAL 123
Eye of the Needle.
Mnawafanya watu wajinga wenu!Kuna uwezekano mkubwa ndugu pasikali umekengeuka kanuni yako ya kukaa viti vifupi siku za jumapili. Kwa maandishi haya siyo tu kwamba umelewa John walker bali hata shisha ya Mazese (a.k.a jani) umetumia.
Aliyepo yupo na akiondoka anafuata mdogo wake March.
Laa! Sijui nimeandika nn hapa?? Ngoja nikemee hili pepo lililonipanda....pepo tokaaa!!
Kwanini mkuuKuweni makini na nyuzi za Paschal Mayalla! Nimetahadharisha tu!
wanacheza na akili za watu.mwaka jana sijui juz umesema rais mwinyi atakalia kiti, leo hujakaa sawa umepindua mezaa, manabii wenzako tunashindwa kukuelewa japo kuna wakati mengine unaenda sawa
Nyerere aliikabidhii hii nchi kwa Vatican......
Ukatekumeni ni kama maji,lazima uyanywe.Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.
Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.
Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.
Jumapili Njema
Paskali.
Trend setter mwamba Pascal MayallaWanabodi